Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maafisa wa Arsenal, waanza ziara yao Tanzania

stones..KLABU ya Arsenal leo imeanza mazungumzo rasmi na makampuni 20 ya hapa nchini kwa lengo la kufungua mahusiano ya kibiashara lakini katika mpango huo makocha wa timu hiyo na baadhi ya nyota waliowahi kutamba watapata fursa ya kudhuru hapa nchini.

Mapema mwenyeji wa wageni hao, Afisa mtendaji mkuu wa EAG Group, Bw Imani Kajura, alisema hii ni fursa sahihi kwa makampuni ya Tanzania kuchangamkia ili kutambulika kimataifa, na kutoa fursa kwa Nchi, kunufaika na miradi ya kijamii itakayoendeshwa kwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

WADAU WA BANDARI NA RELI KUTOKA TANZANIA WAANZA ZIARA YA MAFUNZO UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye rangi nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa reli na bandari wa Ubelgiji na Tanzania walionza ziara ya mafunzo leo Ubelgiji. Ziara hiyo ya wiki moja ina lengo la kujifunza mbinu mbalimbali zitakosaidia kuboresha miundombinu ya reli na bandari Tanzania.

 

9 years ago

StarTV

Maafisa ugani walaumiwa kutotumia taaluma yao Mkinga

Maafisa ugani wamelaumiwa kwa kushindwa kutumia taaluma yao vizuri kuwaelimisha wakazi wa Wilaya ya Mkinga mkoani Tanga kutumia fursa ya ardhi nzuri waliyonayo kwa ajili ya shughuli za kilimo.

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwamtumu Mahiza amesema licha ya halmashauri hiyo kuwa na maafisa ugani wa kutosha wameshindwa kuonyesha mchango wao hususani kwenye suala la kilimo.

Ziara ya mkuu wa Mkoa wa Tanga Mwantumu Mahiza yenye lengo la kukagua na kuhimiza shughuli za maendeleo katika wilaya mbalimbali za...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza ziara ya siku 10 Bara

Wakati Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ukitarajiwa kuanza ziara ya siku 10 katika mikoa ya Tanzania Bara kesho, viongozi wa umoja huo wamemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwa kauli yake kuwa Katiba haina umuhimu.

 

5 years ago

Michuzi

AFISA TARAFA ITISO AWATAKA MAAFISA UGANI NA WATENDAJI WA KATA KUWATAMBUA WAKULIMA WA UFUTA KATIKA MAENEO YAO

Charles James, Michuzi TV

AFISA Tarafa wa Tarafa ya Itiso Wilaya ya Chamwino, Remedius Emmanuel amesema serikali ina nia njema ya kuwasaidia wakulima kupitia mfumo wa Stakabadhi ghalani kwenye zao la ufuta.

Remedius ameyasema hayo leo katika mkutano wake na wananchi wa Tarafa yake uliolenga kujenga uelewa wa pamoja na kutoa ufafanuzi juu ya azma ya Wakala wa Taifa was Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuweka kituo cha kununulia mahindi katika Tarafa hiyo.

NFRA wameweka kituo hiko kwenye Kijiji cha...

 

11 years ago

GPL

MAKAMU WA RAIS NA VIONGOZI WENZAKE WAENDELEA NA ZIARA YAO

  Makamu wa Rais akionyeshwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Injinia Mussa Iombe, sehemu ya daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na Dar es Salaam lililokatika kutokana na mvua kubwa. Asubuhi Aprili 13 2014 Makamu wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadick na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dsm Suleiman Kova walipata ajali ya helikopta iliyoanguka uwanja wa ndege Dar wakitaka...

 

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi na Ujumbe wake waanza ziara ya siku 10 nchini China

Mkuu wa Kijiji cha Maeneo huru ya uwekezaji katika Mji wa Chengmai aliyevaa shati jeupe Bwana Yang Si Tao akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif aliyepo kushoto yake wakati ujumbe wa Zanzibar ulipoangalia maeneo hayo ukiwa katika ziara ya siku 10 Jimboni Hainan. Kushoto ya Balozi ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi, Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar Balozi Silima Kombo Haji,Balozi wa Tanzania Nchini China Bwana Abdullrahman Shimbo na Mkewe Mama...

 

10 years ago

Vijimambo

WAHESHIMIWA JANET MBENE NA MOHAMMED ABOUD WAENDELEA NA ZIARA YAO DUBAI

Waheshimiwa Janet Mbene na Mohammed Aboud, leo wameendelea na ziara yao ya kikazi Dubai. Katika kikao cha leo, ujumbe huu pamoja na mwenyeji wao Mhe. Omar Mjenga, wamefanya mazungumzo ya biashara na Rais Mstaafu wa Comoro Mzee Sambi.Pichani ni mazungumzo hayo yakiendelea.

 

10 years ago

Bongo5

Baba yake Beyonce adai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi ya ziara yao

Baba yake na Beyoncé anadai kuwa mwanae na Jay Z walisambaza kwa makusudi tetesi za talaka kukuza mauzo ya tiketi za ziara yao ya ‘On The Run’. Jay Z akimbusu mkewe Beyonce kwenye MTV VMA wakiwa na mtoto wao Blue Ivy Mathew Knowles alitoa kauli hiyo ya kushtusha alipokuwa akihojiwa katika The Roula And Ryan […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani