Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa waanza ziara ya siku 10 Bara

Wakati Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ukitarajiwa kuanza ziara ya siku 10 katika mikoa ya Tanzania Bara kesho, viongozi wa umoja huo wamemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwa kauli yake kuwa Katiba haina umuhimu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi na Ujumbe wake waanza ziara ya siku 10 nchini China

Mkuu wa Kijiji cha Maeneo huru ya uwekezaji katika Mji wa Chengmai aliyevaa shati jeupe Bwana Yang Si Tao akimpatia maelezo Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif aliyepo kushoto yake wakati ujumbe wa Zanzibar ulipoangalia maeneo hayo ukiwa katika ziara ya siku 10 Jimboni Hainan. Kushoto ya Balozi ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi, Mkurugenzi wa Idara ya Mambo ya Nje Zanzibar Balozi Silima Kombo Haji,Balozi wa Tanzania Nchini China Bwana Abdullrahman Shimbo na Mkewe Mama...

 

11 years ago

Habarileo

UKAWA waanza mivutano

WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza mikutano Kigoma

Hatimaye mikutano ya hadhara ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iliyokuwa imepigwa marufuku mkoani Kigoma na Mkuu wa Mkoa, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya imeanza tena chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza kugawana nchi

Katika kile kinachoonekana kuendelea kujiimarisha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimegawana maeneo mbalimbali nchini vikifanya mikutano ya hadhara na mafunzo kwa viongozi wake ikiwa ni utekelezaji wa mkakati wa ushindi.

 

10 years ago

Mwananchi

Urais 2015: Ukawa waanza safari

Wakati CCM ikisubiri Februari kufanya tathmini kuona kama baadhi ya wagombea wake wa urais wametekeleza masharti ya adhabu zao, washindani wao wa Ukawa, Jumanne ijayo watakutana kujadili mambo mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza mapambano nje ya Bunge

 Ni dhahiri kwamba mjadala wa msomi wa Sheria, Profesa Issa Shivji umewavuruga wanasiasa waumini wa serikali mbili ambao baadhi yao jana walimshukia wakidai kuwa “mzee huyu ni ndumila kuwili na kigeugeu.”

 

9 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza kazi Jangwani leo

Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa, ambaye leo atazindua kampeni zake kwenye viwanja vya Jangwani, jana aliamua kufunguka dhidi ya vitendo vya Jeshi la Polisi kupiga wananchi, akisema havikubaliki kwa kuwa vifaa vinavyotumika vinanunuliwa na kodi wanazokatwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza mchakato wa ‘kugawana’ majimbo

Moshi. Baada ya kumalizika kwa Bunge la Katiba, hasira za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) dhidi ya CCM zimehamia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, safari hii ukiunda kamati maalumu kutafuta namna ya kumsimamisha mgombea mmoja wa urais na kuachiana majimbo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani