UKAWA waanza mivutano
WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi30 May
Ukawa waanza mikutano Kigoma
Hatimaye mikutano ya hadhara ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iliyokuwa imepigwa marufuku mkoani Kigoma na Mkuu wa Mkoa, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya imeanza tena chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi.
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Ukawa waanza kugawana nchi
Katika kile kinachoonekana kuendelea kujiimarisha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimegawana maeneo mbalimbali nchini vikifanya mikutano ya hadhara na mafunzo kwa viongozi wake ikiwa ni utekelezaji wa mkakati wa ushindi.
9 years ago
Mwananchi29 Aug
Ukawa waanza kazi Jangwani leo
Mgombea urais wa Chadema na Ukawa, Edward Lowassa, ambaye leo atazindua kampeni zake kwenye viwanja vya Jangwani, jana aliamua kufunguka dhidi ya vitendo vya Jeshi la Polisi kupiga wananchi, akisema havikubaliki kwa kuwa vifaa vinavyotumika vinanunuliwa na kodi wanazokatwa.
11 years ago
Mwananchi01 Apr
Ukawa waanza mapambano nje ya Bunge
 Ni dhahiri kwamba mjadala wa msomi wa Sheria, Profesa Issa Shivji umewavuruga wanasiasa waumini wa serikali mbili ambao baadhi yao jana walimshukia wakidai kuwa “mzee huyu ni ndumila kuwili na kigeugeu.â€
10 years ago
Mwananchi16 Jan
Urais 2015: Ukawa waanza safari
Wakati CCM ikisubiri Februari kufanya tathmini kuona kama baadhi ya wagombea wake wa urais wametekeleza masharti ya adhabu zao, washindani wao wa Ukawa, Jumanne ijayo watakutana kujadili mambo mbalimbali.
11 years ago
Mwananchi13 May
Ukawa waanza ziara ya siku 10 Bara
Wakati Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ukitarajiwa kuanza ziara ya siku 10 katika mikoa ya Tanzania Bara kesho, viongozi wa umoja huo wamemvaa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana kwa kauli yake kuwa Katiba haina umuhimu.
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Ukawa waanza mchakato wa ‘kugawana’ majimbo
Moshi. Baada ya kumalizika kwa Bunge la Katiba, hasira za Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) dhidi ya CCM zimehamia kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2015, safari hii ukiunda kamati maalumu kutafuta namna ya kumsimamisha mgombea mmoja wa urais na kuachiana majimbo.
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Mivutano inakwamisha maendeleo Ihela — Kapunga
MEYA wa Jiji la Mbeya, Athanas Kapunga, amesema maendeleo katika Kata ya Ihela yanaziidi kuzorota kila kukicha kutokana na wananchi kuendeleza mivutano ya kisiasa isiyo na tija. Akihutubia wananchi wa...
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Makundi chanzo cha vurugu, mivutano Bunge la Katiba [VIDEO]
Uwepo wa makundi haya na kutambuliwa kwake na bunge kunachochea mgawanyiko na kujenga uhasama baina ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania