Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa waanza mikutano Kigoma

Hatimaye mikutano ya hadhara ya Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) iliyokuwa imepigwa marufuku mkoani Kigoma na Mkuu wa Mkoa, Luteni Kanali Mstaafu Issa Machibya imeanza tena chini ya ulinzi mkali wa Jeshi la Polisi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Chadema yaendelea na Mikutano yake Mkoani Kigoma

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe (anaeonekana jukwaani) akiwahutubia maelfu ya wananchi wa mji wa Kigoma, katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Community Cetre mjini Kigoma jana. Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Zanzibar), Salumu Mwalimu akiwahutubia wananchi wa mji wa Kigoma katika mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Community Cetre mjini Kigoma jana.

 

9 years ago

Mwananchi

ACT-Wazalendo waanza kushambulia Kigoma

Chama cha ACT-Wazalendo kitaanza kampeni zake za mikoani leo kwenye kitongoji cha Mwanga mkoani Kigoma, kabla ya kuanza ziara ndefu kuzunguka Tanzania kuomba ridhaa ya wananchi.

 

10 years ago

Habarileo

Usajili wahamiaji haramu Kigoma, Kagera, waanza

IDARA ya Uhamiaji kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa la Uhamaji (IOM) wameanza usajili wa wahamiaji haramu wanaoishi katika mikoa ya Kigoma, Kagera na Geita.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa ruksa kufanya mikutano nchi nzima

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda ametoa ruksa kwa wanachama wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kufanya mikutano yao nchi nzima.

 

9 years ago

Vijimambo

UKAWA WAFANYA MIKUTANO YA KAMPENI KATAVI VIJIJINI

Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Mkanyageni, Zanzibar (CUF), Habib Mnyaa akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi.(Picha na Francis Dande)
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mahamed akihutubia mkutano wa kampeni za urais, ubunge na madiwani katika kijiji cha Katumba Wilaya ya Nsimbo, Mpanda mkoani Katavi.
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Zanzibar, Said Issa Mohamed (kulia) akimtambulisha mgombea ubunge...

 

10 years ago

GPL

UKAWA YAITAKA POLISI KUZUIA MIKUTANO YA KINANA NCHINI

Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu,  akizungumza jambo mbele ya waandishi wa habari (hawapo pichani). Baadhi ya viongozi wa Ukawa, kuanzia kushoto ni Tundu Lissu, Freeman Mbowe, Prof.  Ibrahim Lipumba  na John Mnyika.…

 

11 years ago

Habarileo

UKAWA waanza mivutano

WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.

 

9 years ago

Vijimambo

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA KUPITIA CHADEMA AFANYA MIKUTANO KILWA KUSINI

 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akiwapungia mikono wananchi wakati akielekea jukwaani kuwahutubia kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi. (Na Mpigapicha Wetu)  Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma Duni Haji akimkabidhi kadi ya CUF aliyekuwa mwanachama wa CCM baada ya kurudisha kadi ya chama hicho kwenye mkutano wa kampeni katika kiwanja cha Mandawa Jimbo la Kilwa Kusini mkoani Lindi.
 Mgombea mwenza wa urais Chadema, Juma...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza kugawana nchi

Katika kile kinachoonekana kuendelea kujiimarisha kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimegawana maeneo mbalimbali nchini vikifanya mikutano ya hadhara na mafunzo kwa viongozi wake ikiwa ni utekelezaji wa mkakati wa ushindi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani