Ukawa waanza mapambano nje ya Bunge
 Ni dhahiri kwamba mjadala wa msomi wa Sheria, Profesa Issa Shivji umewavuruga wanasiasa waumini wa serikali mbili ambao baadhi yao jana walimshukia wakidai kuwa “mzee huyu ni ndumila kuwili na kigeugeu.â€
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo30 Mar
Ukawa yapata Ukawa-nje ya Bunge
BAADA ya kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndani ya Bunge Maalum la Katiba, vyama vya siasa vya upinzani ,vimeunda umoja wa aina hiyo nje ya bunge hilo (UKAWA- nje) na kupanga kuwashawishi wananchi nchi nzima kudai Katiba yenye kujali maslahi yao.
11 years ago
Mwananchi01 May
Ukawa: Tutaidai Tanganyika nje ya Bunge
11 years ago
Tanzania Daima13 Jul
Wanaovuruga Bunge la Katiba wapo nje ya UKAWA
INGAWA hatutaki kukubali hadharani, lakini kila mmoja anakiri moyoni mwake kwa siri kuwa mchakato wa kuandika katiba mpya umevurugika na karibu utasambaratika kabisa. Ndoto ya Watanzania kuipata katiba mpya katika...
9 years ago
CHADEMA Blog
WABUNGE WA UKAWA WATOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE
11 years ago
Habarileo29 Jun
Serikali haijui sababu za Ukawa kutoka nje ya Bunge
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameelezea kutofahamu sababu za baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoka nje ya Bunge hilo.
11 years ago
Habarileo03 May
UKAWA waanza mivutano
WAKATI viongozi wa kile kinachoitwa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) wanaonesha kushikamana hadharani, habari za ndani ya Umoja huo zinasema kuwa mivutano imeanza kuzuka huku baadhi ya viongozi wake wakitaka kurejea Bunge Maalum la Katiba.
11 years ago
Dewji Blog01 Oct
Yaliyojiri Bunge Maalum la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge!
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati...
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Ukawa waanza kugawana nchi
11 years ago
Mwananchi30 May
Ukawa waanza mikutano Kigoma