Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ukawa yapata Ukawa-nje ya Bunge

Dk Willibrod SlaaBAADA ya kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndani ya Bunge Maalum la Katiba, vyama vya siasa vya upinzani ,vimeunda umoja wa aina hiyo nje ya bunge hilo (UKAWA- nje) na kupanga kuwashawishi wananchi nchi nzima kudai Katiba yenye kujali maslahi yao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ukawa: Tutaidai Tanganyika nje ya Bunge

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wameapa kuendelea kudai mfumo wa Muungano wa serikali tatu nje ya Bunge la Katiba kwa nguvu zote, ikiwamo kufanya maandamano ya amani nchi nzima.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza mapambano nje ya Bunge

 Ni dhahiri kwamba mjadala wa msomi wa Sheria, Profesa Issa Shivji umewavuruga wanasiasa waumini wa serikali mbili ambao baadhi yao jana walimshukia wakidai kuwa “mzee huyu ni ndumila kuwili na kigeugeu.”

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaovuruga Bunge la Katiba wapo nje ya UKAWA

INGAWA hatutaki kukubali hadharani, lakini kila mmoja anakiri moyoni mwake kwa siri kuwa mchakato wa kuandika katiba mpya umevurugika na karibu utasambaratika kabisa. Ndoto ya Watanzania kuipata katiba mpya katika...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

WABUNGE WA UKAWA WATOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE

Wabunge wanaounda "Umoja wa Katiba Ya Wananchi", UKAWA wametolewa nje ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Ijumaa, Novemba 20, 2015 baada ya kusisitiza kutokutambua ujio wa Dk Shein bungeni na kuanza kuzomea huku wakisema kwa kurudia, "Maalim Seif. Maalim Seif. ..." Wabunge hao awali walitoa msimamo wao wa kutokubali Dk Ali Shein kuhudhuria Bunge hilo wakati rais John

 

11 years ago

Habarileo

Serikali haijui sababu za Ukawa kutoka nje ya Bunge

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameelezea kutofahamu sababu za baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoka nje ya Bunge hilo.

 

11 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini wakemea Ukawa-nje

Askofu Msaidizi wa Jimbo la Bukoba, Dk Method KilainiUMOJA wa Katiba ya Watanzania nje ya Bunge Maalumu la Katiba (Ukawa-nje) umekosolewa na kunyooshewa vidole na watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini waliosema hatua yake ya kutangaza kuzunguka nchi nzima ni kutumia muda na rasilimali vibaya.

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wasusia Bunge

HALI ya hewa ndani ya Bunge Maalumu la Katiba ilichafuka baada ya wajumbe wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kususia vikao kwa madai ya kuchoshwa kusikiliza matusi, ubaguzi na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UKAWA kuvunja Bunge

UMOJA wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) umetishia kuvunja Bunge Maalumu la Katiba iwapo Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitaendelea kutumia rasimu yake badala ya kutumia rasimu ya pili iliyowasilishwa na Mwenyekiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani