Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Serikali haijui sababu za Ukawa kutoka nje ya Bunge

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu Mizengo Pinda ameelezea kutofahamu sababu za baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wanaounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kutoka nje ya Bunge hilo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Ukawa yapata Ukawa-nje ya Bunge

Dk Willibrod SlaaBAADA ya kuunda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ndani ya Bunge Maalum la Katiba, vyama vya siasa vya upinzani ,vimeunda umoja wa aina hiyo nje ya bunge hilo (UKAWA- nje) na kupanga kuwashawishi wananchi nchi nzima kudai Katiba yenye kujali maslahi yao.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa: Tutaidai Tanganyika nje ya Bunge

Viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wameapa kuendelea kudai mfumo wa Muungano wa serikali tatu nje ya Bunge la Katiba kwa nguvu zote, ikiwamo kufanya maandamano ya amani nchi nzima.

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa waanza mapambano nje ya Bunge

 Ni dhahiri kwamba mjadala wa msomi wa Sheria, Profesa Issa Shivji umewavuruga wanasiasa waumini wa serikali mbili ambao baadhi yao jana walimshukia wakidai kuwa “mzee huyu ni ndumila kuwili na kigeugeu.”

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wanaovuruga Bunge la Katiba wapo nje ya UKAWA

INGAWA hatutaki kukubali hadharani, lakini kila mmoja anakiri moyoni mwake kwa siri kuwa mchakato wa kuandika katiba mpya umevurugika na karibu utasambaratika kabisa. Ndoto ya Watanzania kuipata katiba mpya katika...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

WABUNGE WA UKAWA WATOKA NJE YA UKUMBI WA BUNGE

Wabunge wanaounda "Umoja wa Katiba Ya Wananchi", UKAWA wametolewa nje ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, Ijumaa, Novemba 20, 2015 baada ya kusisitiza kutokutambua ujio wa Dk Shein bungeni na kuanza kuzomea huku wakisema kwa kurudia, "Maalim Seif. Maalim Seif. ..." Wabunge hao awali walitoa msimamo wao wa kutokubali Dk Ali Shein kuhudhuria Bunge hilo wakati rais John

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa walitaka Bunge kuiwajibisha Serikali

>Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), umelitaka Bunge kuiwajibisha serikali ikiwa Rais Jakaya Kikwete atashindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwemo kumng’oa Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Mahafali ya 49 chuo cha CBE yafana, Serikali yatoa angalizo kwa makampuni yanayoajiri wafanyakazi wengi kutoka nje ya nchi

Picha na 1

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda (kulia) ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam akiimba wimbo wa Taifa wakati wa ufunguzi rasmi wa mahafali hayo jijini Dar es salaam. Wengine ni  Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Mathew Luhanga (katikati) na Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Prof. Emanuel Mjema.

Na. Aron Msigwa – Dar es salaam.

SERIKALI imewataka watendaji na wamiliki wa...

 

10 years ago

GPL

MAHAFALI YA 49 CHUO CHA CBE YAFANA, SERIKALI YATOA ANGALIZO KWA MAKAMPUNI YANAYOAJILI WAFANYAKAZI WENGI KUTOKA NJE YA NCHI

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Abdallah Kigoda akizungumza na wahitimu wa Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam waliohitimu masomo yao kwa mwaka 2014. Takribani wahitimu 3459 wametunukiwa Astashahada, Shahada na Stashahada za fani mbalimbali.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Yaliyojiri Bunge Maalum la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge!

PIX 1

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.

PIX 2

Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani