UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA
Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMGOMBEA URAIS UKAWA KUTANGAZWA KWA SHAMRASHAMRA NDANI YA SIKU 7
10 years ago
MichuziWAANDISHI WA HABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI WAKISUBIRI JINA LA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA USIKU HUU
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Tumaini Makene akizungumza na waandishi habari hivi punde juu kinachoendelea katika mkutano wa kutafuta mgombea wa Urais kwa tiketi ya UKAWA, uliofanyika katika Hoteli ya Colesseum jijini Dar es Salaam,Makene amesema majadiliano hayo sio urais tu bali kuna mipaka ya majimbo mapya jinsi watavyojipanga katika kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Makene amezidi kuwataka waandishi wawe na subira kusubiri maamuzi...
10 years ago
Mwananchi28 Jul
Lowassa sasa rasmi Ukawa,muda wowote kutangazwa mgombea urais
10 years ago
MichuziMHE.EDWARD LOWASSA AKARIBISHWA RASMI KUJIUNGA NA UKAWA.,MGOMBEA URAIS KUTANGAZWA AGOSTI 4
10 years ago
GPLKIKAO CHA UKAWA KUMPATA MGOMBEA URAIS KINAENDELEA MUDA HUU
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Wabunge wa Ukawa kuchagua mgombea urais
11 years ago
Tanzania Daima02 May
UKAWA: Mgombea urais mmoja 2015
HATIMAYE Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeweka hadharani dhamira yake ya kutaka vyama vinavyounda umoja huo kumsimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi mkuu mwakani. Hatua hiyo ilitangazwa hadharani jana na...
10 years ago
Habarileo05 Aug
Lowassa athibitishwa mgombea urais Ukawa
MKUTANO Mkuu wa Chadema umempitisha kwa kauli moja aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa kuwa mgombea wa kiti cha Urais wa chama hicho na baadaye ikaelezwa kuwa, ndiye atakayebeba jahazi la umoja wa vyama vinne vya upinzani vianvyounda Ukawa katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka huu.
10 years ago
Mwananchi11 Jul
Wabunge Ukawa kuchagua mgombea urais