WAANDISHI WA HABARI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI WAKISUBIRI JINA LA MGOMBEA URAIS KUPITIA UKAWA USIKU HUU

Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),Tumaini Makene akizungumza na waandishi habari hivi punde juu kinachoendelea katika mkutano wa kutafuta mgombea wa Urais kwa tiketi ya UKAWA, uliofanyika katika Hoteli ya Colesseum jijini Dar es Salaam,Makene amesema majadiliano hayo sio urais tu bali kuna mipaka ya majimbo mapya jinsi watavyojipanga katika kushiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu. Makene amezidi kuwataka waandishi wawe na subira kusubiri maamuzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.

Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
10 years ago
Dewji Blog16 Aug
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Michuzi14 Oct
UCHAMBUZI WA MAGAZETI KUTOKA VYOMBO MBALIMBALI VYA HABARI
TBC NEC Yatumia Mfumo Mpya, ni mfumo wa kujumlisha matokeo, Dkt. Magufuli aomba kura kwenye Mabasi. Pata dondoo hizi za magazeti ya leo hapa. https://youtu.be/4I5dO8epJR8
Star TVMagufuli Aahidi Bima Ya Afya Kwa Wananchi, Lowassa Kupigania Mikataba ya Madini, Mahujaji wengine 4 wagundulika kufariki. Habarika hapa zaidi. https://youtu.be/qqM7snXi8kM
CH 10Lowassa ageukia Madini, JK awajia Juu Viongozi...
10 years ago
Michuzi
10 years ago
CHADEMA Blog
10 years ago
Michuzi
DONDOO ZA TAARIFA ZA HABARI KUTOKA TV MBALIMBALI LEO KUPITIA SIMU TV
SIMUtv: Kiongozi wa ACT Zitto Kabwe amewashauri Wakazi wa mikoa ya kusini Kuwashauri Wabunge wao kuhusu Mswaada wa Gesi kutojadiliwa. https://youtu.be/2fQQbAGvuts
SIMUtv: CHADEMA Maendeleo CHADEMA kimetoa rai kwa Mwanachama yeyote kuchukuliwa hatua endapo atabainika kukigawa chama...
10 years ago
Michuzi
DONDOO ZA HABARI KUTOKA VITUO MBALIMBALI VYA TV LEO KUPITIA SIMU TV
Zimekusanywa na Samwel Kamugisha
Ch10 NewsSimutv:Kada wa CCM January Mkamba awasihi wagombea wenza wa uraisi kupitia chama chake kuacha kuchafuana kwani wao wote ni wamoja. http://youtu.be/xIXTuhLqDVw Simutv:Wafanyakazi wa tume ya utumishi wa umma watakiwa kuwa wabunifu zaidi ili kukabiliana na changamoto ufinyu wa bajeti badala ya kuwa walalamikaji. http://youtu.be/Qa7f6Ns-VAQSimutv:Katibu mkuu wa CCM Abdulahman Kinana awataka watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba kutenda haki kwa...