Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DONDOO ZA HABARI KUTOKA VITUO MBALIMBALI VYA TV LEO KUPITIA SIMU TV


Zimekusanywa na Samwel Kamugisha

Ch10 NewsSimutv:Kada wa CCM January Mkamba awasihi wagombea wenza wa uraisi kupitia chama chake kuacha kuchafuana kwani wao wote ni wamoja. http://youtu.be/xIXTuhLqDVw  Simutv:Wafanyakazi wa tume ya utumishi wa umma watakiwa kuwa wabunifu zaidi ili kukabiliana na changamoto ufinyu wa bajeti badala ya kuwa walalamikaji. http://youtu.be/Qa7f6Ns-VAQSimutv:Katibu mkuu wa CCM Abdulahman Kinana awataka watendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba kutenda haki kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

DONDOO ZA HABARI KUTOKA VITUO VYA TELEVISHENI KUPITIA SIMU TV


SIMUTV: Watoto yatima wawili  wakazi wa manispaa ya Ilemela mjini Mwanza  wafanikiwa kupata hati ya nyumba yao ya urithi  baada ya shririka lisilo la kiserikali KIVULINI kushirikiana na uongozi wa mtaa kuingilia kati sakata hilo. http://youtu.be/3PB-kjC4sNI
SIMUTV: Mwenyekiti wa CUF Prof.Ibrahim Lipumba awataka wananchi kijiandikisha katika daftari la wapiga kura wakita akihutubia mkutano wa hadhara mkoani Mwanza. http://youtu.be/1VWsaj6DNHMSIMUTV: Mkuu wa Wilaya ya Arusha mjini Christopher...

 

10 years ago

Michuzi

DONDOO ZA TAARIFA ZA HABARI KUTOKA TV MBALIMBALI LEO KUPITIA SIMU TV

CHANNEL 10.SIMUtv:  Hatimaye serikali ya Tanzania imekubali mapendekezo ya kuwaingiza mabaharia katika utafiti kwenye sekta ya mafuta na gesi.   https://www.youtube.com/watch?v=MwReNguQ3G4
SIMUtv:  Kiongozi wa ACT Zitto Kabwe amewashauri Wakazi wa mikoa ya kusini Kuwashauri Wabunge wao kuhusu Mswaada wa Gesi kutojadiliwa.     https://youtu.be/2fQQbAGvuts
SIMUtv:  CHADEMA Maendeleo CHADEMA kimetoa rai kwa Mwanachama yeyote kuchukuliwa hatua endapo atabainika kukigawa chama...

 

9 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

10 years ago

Michuzi

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani