Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UKAWA: Mgombea urais mmoja 2015

HATIMAYE Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeweka hadharani dhamira yake ya kutaka vyama vinavyounda umoja huo kumsimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi mkuu mwakani. Hatua hiyo ilitangazwa hadharani jana na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

KIKWAZO CHA UKAWA KUSIMAMISHA MGOMBEA MMOJA WA URAIS

Prof. Ibrahim Lipumba. Stori: mwandishi wetu
PRESHA  inazidi kuongezeka kila kukicha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu wa rais, wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba, 2015 ambapo sarakasi mbalimbali za kisiasa zinaendelea kuchezwa na wafuasi wa vyama vyote bila kujali chama tawala au vyama vya upinzani. Uwazi Mizengwe limebaini kuwa macho na masikio ya wengi, yameelekezwa kwenye muungano wa vyama vinne vya kisiasa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Prof. Lipumba: UKAWA mgombea mmoja 2015

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa. Ibrahimu Lipumba, amevitaka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kumsimamisha mgombea mmoja wa urais ambaye atakishinda Chama cha Mapinduzi (CCM)...

 

11 years ago

Mwananchi

Ukawa kusimamisha mgombea urais 2015

>Vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vimeanza maandalizi ya kushirikiana katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kwa kusimamisha mgombea mmoja katika nafasi ya urais, gazeti hili limebaini.

 

10 years ago

Michuzi

UPDATES YA UKAWA USIKU HUU: MGOMBEA URAIS WA UKAWA KUTANGAZWA NDANI YA SIKU SABA

Umoja wa Katiba ya Wananchi UKAWA umesema kuwa mgombea wao wa Urais watamtoa baada ya siku saba.
Akizungumza na Waandishi wa Habari usiku huu,Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi,Mh.James Mbatia amesema kuwa kuchukua muda mrefu kwa kikao hicho imetokana na kuandaa utaratibu jinsi ya kumtoa mwali wao  wa Urais kwa tiketi ya UKAWA aliye bora.Amesema kuwa mkutano huo pia umechukua muda mrefu  kutokana na mambo mengi ikiwemo mgawanyo wa majimbo.
Afisa Habari wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa waazimia kusimamisha mgombea mmoja

Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), wametoa tamko rasmi la kuungana na kusimamisha mgombea mmoja katika ngazi zote kuanzia serikali za mitaa hadi uchaguzi mkuu wa rais na wabunge.

 

10 years ago

Vijimambo

Ukawa waungwa mkono mgombea mmoja

Baada ya vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kukubaliana kumsimamisha mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu mwakani, baadhi ya wasomi na viongozi wa asasi za kiraia wameunga mkono hatua hiyo.

Aliyekuwa mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, alisema lengo la kuundwa kwa Ukawa lilikuwa ni kuunganisha nguvu kusaidia mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya ambayo alidai kupinduliwa.

Prof. Baregu, alisema maazimio ya Ukawa...

 

10 years ago

Mwananchi

Lubuva: Mgombea mmoja ukawa sawa

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), Jaji Damian Lubuva amesema mpango wa vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wa kusimamisha mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu mwakani ni halali kisheria.

 

10 years ago

Habarileo

Mjadala mgombea mmoja Ukawa bado siri

Dk Willbrod SlaaUPATIKANAJI wa mgombea mmoja wa urais kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeendelea kujadiliwa katika kikao cha siri cha vyama hivyo, huku hali ikijionesha kuwepo kwa mvutano baina ya vyama vikuu katika umoja huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani