Ukawa waungwa mkono mgombea mmoja
![](http://3.bp.blogspot.com/-NoB87ZLItfI/U3FU3CQL8vI/AAAAAAABJvQ/hYU0xIg-qCU/s72-c/ukawa.jpg)
Baada ya vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kukubaliana kumsimamisha mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu mwakani, baadhi ya wasomi na viongozi wa asasi za kiraia wameunga mkono hatua hiyo.
Aliyekuwa mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, alisema lengo la kuundwa kwa Ukawa lilikuwa ni kuunganisha nguvu kusaidia mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya ambayo alidai kupinduliwa.
Prof. Baregu, alisema maazimio ya Ukawa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi21 Oct
Lubuva: Mgombea mmoja ukawa sawa
10 years ago
Mwananchi19 Oct
Ukawa waazimia kusimamisha mgombea mmoja
11 years ago
Tanzania Daima02 May
UKAWA: Mgombea urais mmoja 2015
HATIMAYE Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeweka hadharani dhamira yake ya kutaka vyama vinavyounda umoja huo kumsimamisha mgombea mmoja kwenye uchaguzi mkuu mwakani. Hatua hiyo ilitangazwa hadharani jana na...
10 years ago
Mwananchi14 Oct
Msimamo wa Maalim Seif waungwa mkono
10 years ago
Tanzania Daima08 Nov
Ulinzi miundombinu ya DART waungwa mkono
Pendekezo la Kamati ya kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) kuharakisha uundwaji wa Kikosi Kazi cha ulinzi kwenye miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo...
10 years ago
Habarileo12 Jul
Mjadala mgombea mmoja Ukawa bado siri
UPATIKANAJI wa mgombea mmoja wa urais kupitia vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umeendelea kujadiliwa katika kikao cha siri cha vyama hivyo, huku hali ikijionesha kuwepo kwa mvutano baina ya vyama vikuu katika umoja huo.
10 years ago
Tanzania Daima16 Oct
Prof. Lipumba: UKAWA mgombea mmoja 2015
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa, Profesa. Ibrahimu Lipumba, amevitaka vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) kumsimamisha mgombea mmoja wa urais ambaye atakishinda Chama cha Mapinduzi (CCM)...
11 years ago
Dewji Blog30 Jun
Meck sadiq na Kabwe waungwa mkono Dar
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiq.
Na Mwandishi wetu
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemuunga mkono Mkuu wa Mkoa Saidi Meck Sadiq, na Mkurugenzi wa Jiji Wilson Kabwe kwa hatua walizochukua dhidi ya wamachinga.
Kufuatia uungwaji mkono wakaazi hao wamemtaka Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM), kuacha kuwatetea wafanyabiashara wadogo (Wamachinga), wanaofanya biashara katika maeneo ya siyo rasmi.
Hivi karibuni Mbunge huyo, akiwa bungeni alikaririwa na vyombo vya...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8KNI8B2SjT0sI9XvT2FyIyDZtXgF69O4RvkTy9ObO1stJ2ttqTID9wpFclw9HKUk5g8utqZUZ0sMMEr-1qZgvHJBH99n22yf/Ibrahim_Lipumba.jpg?width=650)
KIKWAZO CHA UKAWA KUSIMAMISHA MGOMBEA MMOJA WA URAIS