Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msimamo wa Maalim Seif waungwa mkono

Wanasheria na wanasiasa Zanzibar, wameunga mkono msimamo wa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wa kupinga kampeni ya hapana kupinga Katiba iliyopendekezwa kupitishwa na wananchi kwa sababu imelenga kufuta hadhi ya Zanzibar kuwa nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Ulinzi miundombinu ya DART waungwa mkono

Pendekezo la Kamati ya kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) kuharakisha uundwaji wa Kikosi Kazi cha ulinzi kwenye miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo...

 

10 years ago

Vijimambo

Ukawa waungwa mkono mgombea mmoja

Baada ya vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kukubaliana kumsimamisha mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu mwakani, baadhi ya wasomi na viongozi wa asasi za kiraia wameunga mkono hatua hiyo.

Aliyekuwa mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, alisema lengo la kuundwa kwa Ukawa lilikuwa ni kuunganisha nguvu kusaidia mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya ambayo alidai kupinduliwa.

Prof. Baregu, alisema maazimio ya Ukawa...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA UKAWA KUHUSU KUUNGA MKONO USHINDI WA MAALIM SEIF KWENYE UCHAGUZI WA ZANZIBAR

Ndugu Watanzania wenzangu Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan Zanzibar na matukio yaliyoandamana na Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktober mwaka huu. Wakuu wa UKAWA kwa kauli moja walikariri tamko lao la kumuunga mkono kwa dhati, Mh. Maalim Seif Sharif Hamad kwa ushindi wake dhahiri na kuitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar

 

11 years ago

Dewji Blog

Meck sadiq na Kabwe waungwa mkono Dar

RC-Dar-es-Salaam

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiq.

Na Mwandishi wetu

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemuunga mkono Mkuu wa Mkoa Saidi Meck Sadiq, na Mkurugenzi wa Jiji Wilson Kabwe kwa hatua walizochukua dhidi ya wamachinga.

Kufuatia uungwaji mkono wakaazi hao wamemtaka Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM), kuacha kuwatetea wafanyabiashara wadogo (Wamachinga), wanaofanya biashara katika maeneo ya siyo rasmi.

Hivi karibuni Mbunge huyo, akiwa bungeni alikaririwa na vyombo vya...

 

10 years ago

Mwananchi

Mansour aunga mkono msimamo wa Moyo

Waziri wa zamani wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Mansour Yussuf Himid amesema msimamo wa mwanasiasa mkongwe, Hassan Nassor Moyo kuendelea kutetea mamlaka kamili ya Zanzibar ndani ya mfumo wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni wa kishujaa licha ya kufukuzwa CCM.

 

11 years ago

Mwananchi

Balozi Seif amponda Maalim Seif

>Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,  Balozi Seif Idd ametangaza vita kwa mtu yeyote anayepanga njama za kuvuruga mchakato wa Rasimu ya Pili ya Katiba.

 

9 years ago

Vijimambo

ZADIA YAUNGA MKONO MSIMAMO WA KIZALENDO WA MH. OTHMAN MASSOUD OTHMAN

TAARIFAAlipokuwa akizungumza kwenye kongamano maalum huko Zanzibar, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mh Othman Massoud Othman alielezea wajibu wa kila Mzanzabari wa kuutetea umoja wa Wazanzibar.Akifafanua kifungu cha 23 cha Katiba ya Zanzibar, Bw. Othman alielezea kuwa, mbali na Katiba hiyo kutoa haki sawa kwa Wazanzibari wote, pia inatoa wajibu kwa wananchi.Miongoni mwa wajibu wa kila Mzanzibari kwa mujibu wa Kifungu hicho, ni wajibu wa kulinda, kuhifadhi na kudumisha Uhuru wa...

 

9 years ago

Mwananchi

JK akutana na Maalim Seif

Rais Jakaya Kikwete jana alikutana kwa saa moja na mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad kuzungumzia hali ya kisiasa Zanzibar.

 

10 years ago

Mtanzania

‘Maalim Seif ni Popo’

maalim seif sharif hamad

Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad

NA MAREGESI PAUL, DODOMA

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba ambaye pia ni Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), amemshambulia kwa maneno Makamu wa Kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Maalim Seif Sharif Hamad, huku akimfananisha na popo.

Mbunge huyo alisema hayo baada ya kupewa nafasi na Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta, akisema lengo ni kujibu mashambulizi yaliyoelezwa kwake na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani