Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Meck sadiq na Kabwe waungwa mkono Dar

RC-Dar-es-Salaam

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiq.

Na Mwandishi wetu

Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemuunga mkono Mkuu wa Mkoa Saidi Meck Sadiq, na Mkurugenzi wa Jiji Wilson Kabwe kwa hatua walizochukua dhidi ya wamachinga.

Kufuatia uungwaji mkono wakaazi hao wamemtaka Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu (CCM), kuacha kuwatetea wafanyabiashara wadogo (Wamachinga), wanaofanya biashara katika maeneo ya siyo rasmi.

Hivi karibuni Mbunge huyo, akiwa bungeni alikaririwa na vyombo vya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Msimamo wa Maalim Seif waungwa mkono

Wanasheria na wanasiasa Zanzibar, wameunga mkono msimamo wa Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad wa kupinga kampeni ya hapana kupinga Katiba iliyopendekezwa kupitishwa na wananchi kwa sababu imelenga kufuta hadhi ya Zanzibar kuwa nchi.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Ulinzi miundombinu ya DART waungwa mkono

Pendekezo la Kamati ya kudumu ya Bunge ya Serikali za Mitaa na Tawala za Mikoa (Tamisemi) kuharakisha uundwaji wa Kikosi Kazi cha ulinzi kwenye miundombinu ya mradi wa mabasi yaendayo...

 

10 years ago

Vijimambo

Ukawa waungwa mkono mgombea mmoja

Baada ya vyama vya siasa vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kukubaliana kumsimamisha mgombea mmoja wa urais katika uchaguzi mkuu mwakani, baadhi ya wasomi na viongozi wa asasi za kiraia wameunga mkono hatua hiyo.

Aliyekuwa mjumbe wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Prof. Mwesiga Baregu, alisema lengo la kuundwa kwa Ukawa lilikuwa ni kuunganisha nguvu kusaidia mchakato wa kupatikana kwa katiba mpya ambayo alidai kupinduliwa.

Prof. Baregu, alisema maazimio ya Ukawa...

 

11 years ago

Habarileo

CCM Kigoma wamuunga mkono Zitto Kabwe

Zitto KabweCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Kigoma Mjini kimeunga mkono hatua ya Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA aliyevuliwa madaraka, Zitto Kabwe kusimamia demokrasia na matumizi sahihi ya fedha katika chama chake.

 

9 years ago

IPPmedia

Dar es Salaam Regional Commissioner Said Meck Sadiki


IPPmedia
Dar es Salaam Regional Commissioner Said Meck Sadiki
IPPmedia
A total of 681 people with residences in Dar es Salaam's Msimbazi valley found reason to heave sighs of relief yesterday after the High Court (Land Division) ordered the demolition of their houses suspended pending the hearing of their petition ...
New classrooms ready soonDaily News | The National Newspaper (press release) (blog)

all 3

 

10 years ago

Vijimambo

DC SAIDI MECK SADIKI AZUNGUMUZA NA WATENDAJI WAGANGA WAKUU MKOANI DAR ES SALAAM

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki akizungumza na watendaji , waganga wakuu wa wilaya na mkoa wa mkoa wa Dar es salaam leo wakati akizindua Mpango Kazi wa kuharakisha kupunguza vifo vya akina mama na watoto walio chini ya miaka 5 kwa mkoa wa Dar es salaam.Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sophia Mjema akizungumza na watendaji , waganga wakuu wa wilaya na mkoa wa Dar es salaam leo kueleza nafasi yake katika kusimamia utekelezaji wa wakati Mpango Kazi wa kuharakisha kupunguza vifo vya...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM MH. SAID MECK SADICK ASHIRIKI KAMPENI YA MEDIA CAR WASH FOR CANCER LEADERS CLUB LEO




Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Said Meck Sadick akizindua kampeni ya kuosha Magari katika viwanja vya Leaders Club kwa ajili ya kuchangia Fedha kwa waandishi wa Habari ambao wanamatatizo ya Kiafya ikiwemo Saratani ( MEDIA CAR WASH FOR CANCER). Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO),Nd.Assah Mwambene akikabidhi kiasi cha fedha kwa Mmoja wa Waratibu wa MEDIA CAR WASH FOR CANCER Bwa.Benjamin Thomson,zilizochangwa na Idara hiyo kupitia chama chao cha Maofisa Habari wa Serikali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani