Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAULI YA UKAWA KUHUSU KUUNGA MKONO USHINDI WA MAALIM SEIF KWENYE UCHAGUZI WA ZANZIBAR

Ndugu Watanzania wenzangu Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan Zanzibar na matukio yaliyoandamana na Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktober mwaka huu. Wakuu wa UKAWA kwa kauli moja walikariri tamko lao la kumuunga mkono kwa dhati, Mh. Maalim Seif Sharif Hamad kwa ushindi wake dhahiri na kuitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Maalim Seif: Hatutakubali kuporwa ushindi Zanzibar.

Maalim Seif: Hatutakubali kuporwa ushindi Zanzibar. NA MWINYI SADALLAH 23rd October 2015 Mgombea urais wa Zanzibar kupitia cha Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema chama chake hakitakubali kuporwa ushindi katika uchaguzi mkuu wa […]

The post Maalim Seif: Hatutakubali kuporwa ushindi Zanzibar. appeared first on Mzalendo.net.

 

11 years ago

Mwananchi

Uchaguzi rahisi CUF: Maalim Seif na timu ya ushindi 2015

>Ni uamuzi wa kikatiba uliofanywa na Chama cha Wananchi (CUF) kufanya mkutano wa sita wa taifa kwa siku tano uliomalizika wiki iliyopita.

 

10 years ago

Vijimambo

KUNDI LA VIJANA LA 4U MOVEMENT LATANGAZA KUUNGA MKONO UKAWA, AWALI LILIKUWA LIKIMUUNGA MKONO LOWASSA

Kiongozi wa Kundi Vijana wa 4U Movement, liliokuwa likimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Hemed Ali akizungumza na waandishi wa habari jjini Dar es Salaam leo Julai 18, 2015 kuhusu msimamo wao wa kuungamkono UKAWAVijana wa Kundi la 4U Movement, liliokuwa likimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, washangilia baada kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu msimamo wao wa kuungamkono UKAWA.KUNDI la vijana la 4U Movement, lililokuwa...

 

10 years ago

Mwananchi

ZEC yamjibu Maalim Seif uchaguzi Zanzibar

Siku moja baada ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kutoa tuhuma nzito dhidi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), kuandikisha wapigakura wasio na sifa, tume hiyo imeibuka na kukanusha vikali.

 

10 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF ADHAMINIWA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR UCHAGUZI MKUU UJAO

Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi fedha taslim Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, ili aweze kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar wakati utakapofika.Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akionyesha fedha alizokabidhiwa kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea urais.Mwenyekiti wa CUF zoni ya Mjini Unguja Massoud Khamis, akimkabidhi Katibu Mkuu wa Chama hicho Maalim Seif Sharif Hamad, cheti cha heshima kutokana na uongozi wake.

 

11 years ago

Michuzi

Maalim Seif mgeni rasmi kwenye mahafali ya tano ya chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza katika mahafali ya tano ya chuo cha Uandishi wa Habari Zanzibar, katika Viwanja vya Wizara ya Habari, Mnazi mmoja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akikabidhi zawadi kwa mmoja kati ya wanafunzi waliofanya vizuri katika chuo hicho. Mwenyekiti wa bodi ya Chuo Cha Uandishi wa Habari Zanzibar nd. Chande Omar akitoa ushauri wake kwenye mahafali ya tano ya chuo hicho. Makamu...

 

9 years ago

Michuzi

SMZ YAIPONGEZA UN KWA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA KIMAENDELEO VISIWANI ZANZIBAR

IMG_9022Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP) nchini, Awa Dabo (kulia) na Mkuu wa ofisi ndogo ya Umoja wa Mataifa Zanzibar, Anna Senga (katikati) wakimkaribisha mmoja wa wageni waalikwa katika sherehe za kutimiza miaka 70 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa iliyofanyika katika Hoteli ya Serena Shangani Mjini Zanzibar mwishoni mwa wiki.(Picha na Zainul Mzige wa Modewjiblog).
Na Mwandishi wetu, ZanzibarSERIKALI ya mapinduzi Zanzibar imesema kuwa itaendelea kuthamini...

 

10 years ago

Mwananchi

Maalim Seif: Ushindi wangu hautachezewa

>Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad jana alichukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa Zanzibar kwa mara ya tano huku akisema ushindi wake hautachezewa na mtu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani