Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUNDI LA VIJANA LA 4U MOVEMENT LATANGAZA KUUNGA MKONO UKAWA, AWALI LILIKUWA LIKIMUUNGA MKONO LOWASSA

Kiongozi wa Kundi Vijana wa 4U Movement, liliokuwa likimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, Hemed Ali akizungumza na waandishi wa habari jjini Dar es Salaam leo Julai 18, 2015 kuhusu msimamo wao wa kuungamkono UKAWAVijana wa Kundi la 4U Movement, liliokuwa likimuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani Edward Lowassa, washangilia baada kuzungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu msimamo wao wa kuungamkono UKAWA.KUNDI la vijana la 4U Movement, lililokuwa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATANZANIA KUUNGA MKONO BIDHAA ZINAZOZALISHWA NA VIJANA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana Na Ajira Mh Anthony Mavunde ametoa rai kwa Watanzania kuunga mkono bidhaa zinazozalishwa na Vijana wa Tanzania kwa kuwa soko  la bidhaa zao.

Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo leo Jijini Mwanza alipotembelea Kiwanda cha Vijana cha Soma bags cha mabegi ya wanafunzi ambacho kimepewa mkopo wa Tsh 30,000,000 kupitia Mfuko wa maendeleo ya Vijana-YDF.

"Mkopo mlioupata mmeutumia vyema na kuongeza uzalishaji kwa kiwango kikubwa,ninyi mnatuma...

 

9 years ago

CHADEMA Blog

KAULI YA UKAWA KUHUSU KUUNGA MKONO USHINDI WA MAALIM SEIF KWENYE UCHAGUZI WA ZANZIBAR

Ndugu Watanzania wenzangu Kama nilivyo waambia Viongozi Wakuu wa UKAWA walikaa juzi kutafakari hali ya kisiasa nchini na hususan Zanzibar na matukio yaliyoandamana na Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25 Oktober mwaka huu. Wakuu wa UKAWA kwa kauli moja walikariri tamko lao la kumuunga mkono kwa dhati, Mh. Maalim Seif Sharif Hamad kwa ushindi wake dhahiri na kuitaka Tume ya Uchaguzi Zanzibar

 

5 years ago

Michuzi

VIJANA WA KUNDI LA VAS WANAVYOUNGA MKONO SERIKALI NA MAPAMBANO YA CORONA


Vijana wa Kikundi cha 'Visual Aided Stories, VAS' wakichora baadhi ya picha kubwa za rangi mitaani kuunga mkono juhudi za Serikali kuhamasisha jamii kuhusu kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona-COVID-19.

Vijana wa Kikundi cha 'Visual Aided Stories, VAS' wakichora baadhi ya picha kubwa za rangi mitaani kuunga mkono juhudi za Serikali kuhamasisha jamii kuhusu kujikinga na kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa wa Corona-COVID-19.

Moja ya bango lililochorwa na Vijana wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Kwanini naunga mkono kwa Mh Edward Lowassa kukaribishwa UKAWA : Ismail Jussa

Mjadala mkubwa umezuka kuhusu mwelekeo wa ushirikiano wa vyama vikuu vya upinzani vinavyounda UKAWA na hatua ya kumkaribisha Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, Mhe. Edward Lowassa, ili kushirikiana kuiondosha madarakani CCM pamoja na mfumo wake wa kikandamizaji na kifisadi ulioambatana na kiburi kikubwa cha watawala.

Baada ya kusoma maoni na mitazamo ya watu mbali mbali, nataka na miye nieleze mtazamo wangu kuhusiana na masuala hayo lakini zaidi nikirudi nyuma katika miaka ya 1991 na...

 

10 years ago

Habarileo

Waombwa kuunga mkono katiba pendekezi

WAZIRI wa Uwezeshaji, Wanawake, Vijana, Watoto, Zainab Omar Mohamed amewataka akinamama nchini kuiunga mkono katiba inayopendekezwa ambayo ndiyo muarobaini wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia na ubakaji.

 

10 years ago

BBCSwahili

Marekani kuunga mkono demokrasia Myanmar

Kiongozi wa upinzani wa Myanmar's, Aug San Suu Kyi, ameelezea imani yake kwamba Marekani itaendelea kuunga mkono democrasia nchini

 

10 years ago

Vijimambo

ASANTENI SANA KWA KUUNGA MKONO SHINA

Bi. Jessca Kamala Mushala
Asante for last night. Your presence meant a lot to us.. Special needs children un Tanzania are better off today because of your you. Hope you enjoyed yourself. Stay blessed. J.mushala

 

11 years ago

Habarileo

Tanzania kuunga mkono jitihada za Misri kurejea AU

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete ameihakikishia Misri kuwa Tanzania itaunga mkono jitihada za nchi hiyo kurejeshewa uanachama wake katika Umoja wa Afrika (AU), baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa kidemokrasia nchini humo Aprili mwaka huu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani