Marekani kuunga mkono demokrasia Myanmar
Kiongozi wa upinzani wa Myanmar's, Aug San Suu Kyi, ameelezea imani yake kwamba Marekani itaendelea kuunga mkono democrasia nchini
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboKUNDI LA VIJANA LA 4U MOVEMENT LATANGAZA KUUNGA MKONO UKAWA, AWALI LILIKUWA LIKIMUUNGA MKONO LOWASSA
10 years ago
Habarileo31 Jan
Waombwa kuunga mkono katiba pendekezi
WAZIRI wa Uwezeshaji, Wanawake, Vijana, Watoto, Zainab Omar Mohamed amewataka akinamama nchini kuiunga mkono katiba inayopendekezwa ambayo ndiyo muarobaini wa kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia na ubakaji.
10 years ago
Habarileo06 Oct
CCM Mara yampongeza JK kuunga mkono BMK
MWENYEKITI wa CCM Mkoa wa Mara, Christopher Sanya, amempongeza Rais Jakaya Kikwete, kwa kitendo chake cha kuunga mkono Bunge Maalum la Katiba wakati wote lilipokuwa linaendelea.
10 years ago
Mwananchi06 Dec
Tujenge utamaduni wa kuunga mkono wasanii wetu
10 years ago
Vijimambo26 Oct
ASANTENI SANA KWA KUUNGA MKONO SHINA
Asante for last night. Your presence meant a lot to us.. Special needs children un Tanzania are better off today because of your you. Hope you enjoyed yourself. Stay blessed. J.mushala
11 years ago
Habarileo24 Feb
Tanzania kuunga mkono jitihada za Misri kurejea AU
RAIS Jakaya Kikwete ameihakikishia Misri kuwa Tanzania itaunga mkono jitihada za nchi hiyo kurejeshewa uanachama wake katika Umoja wa Afrika (AU), baada ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa kidemokrasia nchini humo Aprili mwaka huu.
11 years ago
Dewji Blog30 May
Washirika wa michezo waombwa kuunga mkono sekta hiyo
Meneja wa Benki ya Taifa ya Biashara { NMB } Tawi la Zanzibar Rajab Maalim akielezea mikakati ya Benki yake katika kusaidia masuala ya Kijamii wakati wa hafla ya kukabidhi michango kwa wanamichezo wa Zanzibar wenye ulemavu wa akili Ofisini kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Vuga Mjini Zanzibar.
Na Othman Khamis Ame, Visiwani
WASHIRIKA wa michezo ndani na nje ya nchi bado wana fursa kubwa ya kuendelea kujitolea kuunga mkono nguvu zao katika sekta ya michezo ili kuijengea...
10 years ago
Uhuru Newspaper02 Sep
Bendera awataka wanahabari kuunga mkono jitihada za TMA
NA WILLIAM SHECHAMBO
MKUU wa mkoa wa Morogoro, Joel Bendera, amewataka wanahabari nchini kutumia nafasi waliyonayo kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), kwa manufaa ya taifa.
Amesema jitihada hizo, ambazo ni utoaji wa taarifa za mabadiliko ya hali ya hewa kwa wakati na uhakika, haziwezi kuwafikia walengwa bila kuwepo vyombo vya habari ambavyo huunganisha jamii, serikali na taasisi binafsi.
Bendera alitoa rai hiyo jana mkoani Morogoro, wakati akifungua...
11 years ago
Habarileo15 Dec
ALAT kuunga mkono mgombea Urais anayejali ugatuaji
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania (ALAT), Dk Didas Masaburi amesema kuwa jumuiya hiyo itamuunga mkono Rais ambaye atahakikisha anagatua madaraka kwenda ngazi za chini pamoja na kusimamia sheria zake.