Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uboreshaji bandari uendane na reli

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imekuwa katika mchakato wa kuboresha huduma zinazotolewa na bandari za Tanzania hasa Bandari ya Dar es Salaam kwa muda sasa, kitendo kinachostahili kuungwa mkono.

Katika uboreshaji wa huduma hizo, TPA imefungua ofisi ndogo mbili nje ya nchi; moja jijini Lusaka, Zambia na nyingine huko Lubumbashi, DRC ambazo zitawasaidia wafanyabiashara kutoka nchi hizo kufuatilia mizigo yao na kupata huduma bila kusafiri hadi Dar es Salaam.

Tayari...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Kikwete, Lungu kuzungumzia uboreshaji wa reli ya Tazara

Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zambia, Edgar Lungu wanakutana mjini Lusaka, Zambia pamoja na mambo mengine, kuzungumzia uboreshwaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara).

 

5 years ago

Michuzi

MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI – TIRP DAR ES SALAAM - ISAKA WAFIKA 85%

Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP unaogharimu Dola za Kimarekani Milioni 300 upo mbioni kukamilika baada ya mradi huo kufika 85% baada ya kazi kubwa iliyofanyika kati ya Dar es Salaam – Isaka umbali wa Kilometa 970 tangu ulipoanza rasmi utekelezaji wake mwezi Juni 2018. 
Mradi umelenga kufanya ukarabati wa Reli iliyopo kwa kipande cha Dar es salaam - Isaka ili kuongeza uwezo wa kubeba mzigo toka chini ya Tani 13.5 za uzito wa ekseli hadi tani 18.5 kwa kutandika upya njia za Reli...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Japan yajitolea kuboresha reli, bandari

SERIKALI ya Japan imeahidi kuboresha miundombinu nchini. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam jana wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa  Japan, Noria Mitsuya, kwenye...

 

10 years ago

Mwananchi

Chokala: Nitaendesha nchi kwa reli, bandari

Dar es Salaam. Balozi Patrick Chokala (67), amejitokeza na kutangaza azma yake ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM akiahidi kusimamia uchumi wa Taifa kupitia bandari na reli.

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA BANDARI NA RELI KUTOKA TANZANIA WAANZA ZIARA YA MAFUNZO UBELGIJI

Balozi wa Tanzania Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala (mwenye tai yenye rangi nyekundu) akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa reli na bandari wa Ubelgiji na Tanzania walionza ziara ya mafunzo leo Ubelgiji. Ziara hiyo ya wiki moja ina lengo la kujifunza mbinu mbalimbali zitakosaidia kuboresha miundombinu ya reli na bandari Tanzania.

 

5 years ago

Michuzi

MKURUGENZI MKUU MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA AKAGUA VICHWA SABA VYA TRENI VILIVYOPO KARAKANA YA RELI MKOANI MORO

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Mhandisi Deusidedit Kakoko ametembelea Karakana ya Reli iliyopo mkoani Morogoro kwa lengo la kukagua matengenezo ya vichwa saba vya treni.

Vichwa hivyo vya treni ndivyo vitakavyosaidia usafirishaji wa mizigo kutoka Bandari ya Dar es Salaam hadi Bandari Kavu ya Kwala-Ruvu pamoja na Yadi ya Ubungo.

Akiwa katika Karakana hiyo leo Mei 8 mwaka huu,Mkurugenzi huyo wa TPA ameelezwa na wataalam wa Karakana hiyo kuwa vichwa vinne vitakamilika...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA BANDARI NA RELI WAKUTANA NA KAMPUNI YA BESIX YA UBELGIJI,PIA WATEMBELEA KIWANDA KINACHOTENGENEZA MTAMBO WA KUZALISHA UMEME UTAKAOPELEKWA BIHARAMULO

Wadau wa bandari na reli wa Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa kampuni ya BESIX ya Ubelgiji baada ya kumaliza kikao cha pamoja na kampuni hiyo. Kampuni ya BESIX ilianzishwa mwaka 1909 na imeajiri watu 19,0000. Mwaka jana kampuni hiyo ilipata faida Euro 2.13 bilioni. Pamoja na mambo mengine, kampuni hiyo imehaidi kusaidia shughuli za jamii Tanzania kupitia taasisi yake inayosaidia shughuli mbalimbali za jamii (BESIX FOUNDATION). Wadau wa reli na bandari wakishuhudia...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wadau wa Reli na Bandari walipotembelea kiwanda cha mitambo ya Umeme cha ABC

DSCF5501

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na jumuiya ya Ulaya Dr Kamala akisikiliza maelezo kutoka kwa uongozi wa kampuni ya Anglo Belgium Corporation ABC inayoshughuikia utengenezaji wa mitambo mbalimbali ya umeme,pichani Balozi Kamala akiwa na wadau kutoka sekta mbalimbali za reli na bandari wakisikiliza kwa makini shughuli zinazofanywa kiwandani hapo.

DSCF5522

Mh. Balozi Dr. Kamala akiwa na wadau toka Tanzania katika kiwanda cha utengenezaji wa mitambo ya umeme kinachojulikana kama Anglo Belgian...

 

11 years ago

GPL

WADAU WA RELI NA BANDARI WALIPOTEMBELEA KIWANDA CHA MITAMBO YA UMEME CHA ABC‏

Balozi wa Tanzania nchini Ubelgiji na Jumuiya ya Ulaya Dr. Kamala akisikiliza maelezo kutoka kwa uongozi wa kampuni ya Anglo Belgium Corporation ABC inayoshughulikia utengenezaji wa mitambo mbalimbali ya umeme, pichani Balozi Kamala akiwa na wadau kutoka sekta mbalimbali za reli na bandari wakisikiliza kwa makini shughuli zinazofanywa kiwandani hapo.  Mh:Balozi Dr Kamala akiwa na wadau toka Tanzania katika… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani