Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MRADI WA UBORESHAJI WA RELI YA KATI – TIRP DAR ES SALAAM - ISAKA WAFIKA 85%

Mradi wa Uboreshaji wa Reli ya Kati – TIRP unaogharimu Dola za Kimarekani Milioni 300 upo mbioni kukamilika baada ya mradi huo kufika 85% baada ya kazi kubwa iliyofanyika kati ya Dar es Salaam – Isaka umbali wa Kilometa 970 tangu ulipoanza rasmi utekelezaji wake mwezi Juni 2018. 
Mradi umelenga kufanya ukarabati wa Reli iliyopo kwa kipande cha Dar es salaam - Isaka ili kuongeza uwezo wa kubeba mzigo toka chini ya Tani 13.5 za uzito wa ekseli hadi tani 18.5 kwa kutandika upya njia za Reli...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

BENKI YA DUNIA YARIDHISHWA NA KASI YA UKARABATI WA RELI YA KATI DAR – ISAKA


Wafadhili wa ukarabati wa reli ya kati Benki ya Dunia wameridhishwa na ukarabati wa reli ya kati – TIRP katika ziara waliyoifanya kuanzia Dar es Salaam hadi Tabora - Isaka, hivi karibuni Machi, 2020. 
Lengo ni kujua kiwango na ubora wa nyenzo zinazotumika katika ukamilishaji wa ukarabati huo, ziara hiyo iliyofanywa katika njia nzima ya reli ya kati ambapo maafisa kutoka benki ya Dunia wakishirikiana na wafanyakazi wa Shirika la Reli Tanzania - TRC pamoja na wahandisi washauri kuoka DOHWA na...

 

11 years ago

Mwananchi

Usafiri wa Reli ya Kati wazua kizaazaa Dar

Zaidi ya abiria 1,500 waliotarajia kusafiri na treni ya Reli ya Kati jana, walikwama jijini Dar es Salaam baada ya kufika na kutangaziwa kupitia vipaza sauti kuwa hakuna treni na kutakiwa kupanga foleni kwa ajili ya kurudishiwa nauli.

 

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…

 

10 years ago

Michuzi

BREAKING NYUZZZZZ....KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

Ile ahadi ya Waziri wa Ujenzi Dkt.John Magufuli ya kununua kivuko kipya kitakachotoa huduma ya usafiri kati ya Jiji la Dar es Salaam na mwambao wa Bahari ya Hindi hadi Bagamoyo imetimia. Taarifa za uhakikia tulizozipata hivi punde ni kuwa kivuko hicho (Mv Dar es Salaam) kilichokuwa kinajengwa huko Denmark leo kimeshuka majini na tayari kuanza safari ya kuja Dar es Salaam ambapo kinatarajiwa kufika/kutua Dar es Salaam kati ya wiki tatu mpaka nne zijazo.  Kivuko cha MV Dar es Salaam kitakuwa...

 

10 years ago

Raia Tanzania

Uboreshaji bandari uendane na reli

MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imekuwa katika mchakato wa kuboresha huduma zinazotolewa na bandari za Tanzania hasa Bandari ya Dar es Salaam kwa muda sasa, kitendo kinachostahili kuungwa mkono.

Katika uboreshaji wa huduma hizo, TPA imefungua ofisi ndogo mbili nje ya nchi; moja jijini Lusaka, Zambia na nyingine huko Lubumbashi, DRC ambazo zitawasaidia wafanyabiashara kutoka nchi hizo kufuatilia mizigo yao na kupata huduma bila kusafiri hadi Dar es Salaam.

Tayari...

 

10 years ago

Mwananchi

Kikwete, Lungu kuzungumzia uboreshaji wa reli ya Tazara

Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zambia, Edgar Lungu wanakutana mjini Lusaka, Zambia pamoja na mambo mengine, kuzungumzia uboreshwaji wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara).

 

11 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa mambo ja nje wa Japan atembelea shirika la reli jijini Dar es salaam

 Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Bw. Norio Mitsuya, mara baada ya kuwasili katika stesheni ya  Shirika la Reli Tanzania(TRL) kuangalia namna usafiri wa Treni ya Dar es Salaam Unavyofanya kazi, leo mchana

 Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Charles Tizeba, akimuonyesha mchoro wa njia ya treni ya Bara na ile ya inayofanya Safari zake kutoka stesheni mpaka Ubungo Maziwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio...

 

11 years ago

Habarileo

Reli ya kati kuimarishwa

WAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe, amesema Reli ya Kati itakuwa imefufuliwa ifikapo mwishoni mwa mwaka huu na kuanza kubeba mizigo itakayookoa barabara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani