SERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA KUENDELEZA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU
KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imetoa ushauri kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuongeza uwekezaji katika kuendeleza Sayansi, Teknolojia na Ubunifu nchini baada ya kuridhishwa na utendaji wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela katika eneo hilo.
Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Peter Serukamba wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV06 Oct
Serikali yashauriwa kuongeza uwekezaji katika elimu
Rais wa Chama cha Waalimu Tanzania (CWT), Gratian Mukoba amesema Siku ya waalimu duniani imeadhimishwa huku Tanzania kukiwa na malalamiko mengi katika sekta ya elimu kutokana na uwekezaji mdogo.
Amesema ili kuweza kufikia malengo endelevu ya maendeleo ni lazima nchi ifanye uwekezaji wa kutosha kwa kuongeza fedhaa kwa ajili ya kuondoa malalamiko hayo.
Rais wa Chama cha Walimu Gratian Mukoba amesema ualimu ni taaluma muhimu na ni lazima ithaminiwe na kuheshimiwa kwa kuwa hatma ya taifa la...
10 years ago
Habarileo19 Dec
JK: Serikali itawekeza katika sayansi, teknolojia
RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali yake imedhamiria kwa dhati kuwekeza katika masomo ya sayansi na teknolojia, kwani hiyo ndio siri kubwa ya maendeleo ya nchi.
10 years ago
Dewji Blog09 Jun
Serikali kutumia Teknolojia ya Jeni katika kuendeleza mazao
Naibu Waziri, wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na watoto Mhe. Pindi Chana (Mb) akijibu swali leo Bungeni Dodoma, kwa niaba ya Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika kuhusu mpango wa Serikali kutumia teknolojia ya jeni katika kuboresha mbegu za mazao.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Mhe. Hawa Ghasia (Mb), akijibu swali katika kipindi cha maswali na majibu leo Bungeni Dododma.
Naibu Waziri, Wizara ya Ushirikiano wa Afika Mashariki, Mhe. Dkt. Abdullah...
10 years ago
MichuziJK ALIPOFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU JIJINI DAR ES SALAAM
Rais Kikwete akipata maelezo ya tasisi ya SEMA inayojishughulisha na utumiaji wa teknolojia ya kisaa katika kupatikana kwa maji safi na salama vijijini wakati akitembelea mabanda ya maonesho katika Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu...
10 years ago
Dewji Blog24 Jun
JK afungua kongamano la kimataifa la sayansi, teknolojia na ubunifu jijini Dar leo
Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam leo asubuhi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi inayojishughulisha na Utafiti wa Sayansi ya Jamii (REPOA), Profesa Samuel Wangwe akitoa hutuba mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa uzinduzi wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza...
9 years ago
Dewji Blog15 Sep
Miaka 10 ya ustawi, serikali yapiga hatua katika sekta ya Tehema na Sayansi na Teknolojia
1.Katika Miaka 10 ya ustawi, serikali imekuwa katika jitihada za kuendeleza utekelezaji wa mipango na mikakati mbalimbali kwa lengo la kuinua Sekta ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia ili kufikia maendeleo ya kijamii na kiuchumi.
2. Katika Miaka 10 ya ustawi, tumeimarisha Utendaji wa Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kwa kupitia upya Sheria ya Tume ili kuipa COSTECH mamlaka ya kiudhibiti pamoja na kutambua mchango wa ubunifu.https://youtu.be/ZaXEKpIn-cI
3. Katika Miaka 10 ya...
11 years ago
Habarileo25 Jul
Dk Bilal ahimiza uwekezaji kwenye sayansi, teknolojia
MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amesema nchi za Afrika haziwezi kuendelea pasipo kuwekeza kwenye masomo ya sayansi na teknolojia.
10 years ago
MichuziSERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA BAJETI WIZARA YA HABARI
10 years ago
VijimamboRAIS JAKAYA KIKWETE AFUNGUA KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia, (COSTECH), Dk.Hassan Mshinda akizungumza katika...