Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Dk Bilal ahimiza uwekezaji kwenye sayansi, teknolojia

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amesema nchi za Afrika haziwezi kuendelea pasipo kuwekeza kwenye masomo ya sayansi na teknolojia.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YASHAURIWA KUONGEZA UWEKEZAJI KATIKA KUENDELEZA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii imetoa ushauri  kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kuongeza  uwekezaji  katika  kuendeleza  Sayansi, Teknolojia na Ubunifu nchini baada ya kuridhishwa na utendaji wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela katika eneo hilo.

Ushauri huo umetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe Peter Serukamba wakati wa ziara ya kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Chuo cha Sayansi na Teknolojia cha Nelson Mandela...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS,DKT GHARIB BILAL AHIMIZA MATUMIZI BORA YA TEKNOLOJIA YA HABARI KWA WANAFUNZI


Na Maryam Kidiko/Kijakazi Abdalla Maelezo Zanzibar 
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilali amesema kuwa matumizi bora ya teknolojia ya habari yatawawezesha wanafunzi kupata elimu bora kwa urahisi.
Hayo ameyasema leo katika skuli ya Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi Unguja wakati wa uzinduzi wa darasa la kompyuta ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za kutimiza miaka 51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Alisema kuwa matumizi bora ya kompyuta yatawafanya wanafunzi...

 

10 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MAONESHO YA 10 YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA VYUO VYA ELIMU YA JUU NCHINI.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuashiria kufungua  rasmi Maonesho ya 10 ya Sayansi ya Teknolojia ya Vyuo vya Elimu ya Juu, nchini yanayoendelea kwenye Viwanja vya Maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Sabasaba, jijini Dar es Salaam.  Maonesho hayo yamefunguliwa rasmi leo. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa mvumbuzi wa mashine ya kuchujia maji safi, Dkt....

 

10 years ago

Dewji Blog

Makamu wa Rais Dkt. Bilal afungua kongamano la mafunzo ya pamoja kwa mabadiliko ya Sayansi na Teknolojia jijini Arusha

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Sweden Nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker, wakati alipowasili kwenye Taasisi ya ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela, jijini Arusha kwa ajili ya kufungua Kongamano la siku mbili la Kimataifa la Mafunzo ya pamoja kwa Mabadiliko ya Kisayansi na Teknolojia, yaliyoanza leo jijini Arusha. Mafunzo hayo yameshirikisha washiriki kutoka Nchi 14 za Afrika na washiriki kutoka Vyuo 15 vya...

 

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. MAKAME M. MBARAWA (MB), WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA WAANDISHI WA HABARI YA KUTANGAZA RASMI KUANZA KUTUMIKA KWA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO NA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI ZA MWAKA 2015 KWENYE UKUMBI WA MIKUTA

 Ndugu Wandishi wa Habari, 
Mabibi na Mabwana,

Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru nyote hasa waandishi wa habari kwa kutenga muda wenu na kujumuika nasi kwa lengo la kutangaza rasmi kuanza kutumika kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 ambayo ilitangazwa kwenye gazeti la Serikali  la tarehe 14/08/2015 na kupewa Na. 328. Pia Sheria ya Miamala ya Kielektroniki, 2015 ambayo  ilitangazwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe hiyo hiyo na kupewa Na.329.


Ndugu Wananchi,

Teknolojia ya Habari na...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Serikali itawekeza katika sayansi, teknolojia

Rais Jakaya Kikwete.RAIS Jakaya Kikwete amesema Serikali yake imedhamiria kwa dhati kuwekeza katika masomo ya sayansi na teknolojia, kwani hiyo ndio siri kubwa ya maendeleo ya nchi.

 

10 years ago

Habarileo

Sefue asisitiza matumizi ya sayansi, teknolojia

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni SefueKATIBU Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue amesema ili nchi iweze kuendelea ni lazima iwekeze katika sayansi, teknolojia na ubunifu na kuhamasisha vijana kuwa wavumbuzi wa mambo.

 

10 years ago

Mwananchi

Tutajuta tusipowekeza katika sayansi, teknolojia

Jana tulichapisha habari kuhusu madaktari katika Chuo cha Tiba cha Amrita, nchini India ambao wamefanikiwa kufanya upasuaji wa aina yake wa kupandikiza mikono mipya kwa binadamu aliyekatika viungo hivyo. Upandikizaji huo ambao umefanyika kwa mara ya kwanza nchini humo ulimhusu mwanamume mwenye umri wa miaka 30, aliyekatika mikono katika ajali ya treni. Mikono hiyo mipya ilichukuliwa kutoka kwa kijana mwenye umri wa miaka 24 aliyefariki katika ajali ya gari.

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC ahimiza uwekezaji chumba cha maiti

MKUU wa Mkoa (RC) wa Njombe, Kapteni Mstaafu, Assery Msangi, amekaribisha watu binafsi, mashirika na taasisi yoyote kujitokeza kusaidia ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mkoa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani