Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RC ahimiza uwekezaji chumba cha maiti

MKUU wa Mkoa (RC) wa Njombe, Kapteni Mstaafu, Assery Msangi, amekaribisha watu binafsi, mashirika na taasisi yoyote kujitokeza kusaidia ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mkoa ya...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

HOSPITALI YA POLISI KILWA ROAD YAPATA VIFAA VYA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI


Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), akimkabidhi Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), kontena lenye vifaa vya chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Jeshi la Polisi Kilwa Road. Wa kwanza kushoto ni Naibu Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, Abdulrahmani Kaniki.

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwamini Malemi (kushoto), akiongozana na Balozi wa Misri Nchini, Hossam Moharam (kulia), kuelekea kwenye jengo...

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu ahimiza uwekezaji elimu ya juu nchini

>Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga, amezungumzia umuhimu wa Tanzania kuwekeza katika elimu ya juu na kwamba kuwa taifa lolote lisilowekeza katika elimu litakuwa taabani kimaendeleo hasa ya kiuchumi.

 

9 years ago

Mtanzania

Askofu Kilaini ahimiza uwekezaji katika ndoa

Kilaini(2)Na Joan John, Kagera

ASKOFU Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Mhashamu, Methodius Kilaini amewataka wanandoa nchini kuwekeza katika ndoa zao ili kuweza kujenga familia imara.

Askofu Kilaini alisema hayo juzi katika misa ya pili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki mjini Bukoba ambapo alisema kuwa bila wanandoa kuwekeza katika ndoa zao, kamwe hawawezi kujenga familia imara.

Alisema Wakristo wanapaswa kujenga tabia ya uvumilivu, upendo, amani, kuthaminiana, kuheshimiana katika...

 

11 years ago

Habarileo

Rais Kikwete ahimiza uwekezaji katika chanjo

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema kuwekeza katika chanjo, ni uwekezaji wa maana zaidi na wa akili zaidi, ambao mataifa yanapaswa kufanya katika kuboresha afya ya raia wake na hali ya baadaye ya mataifa duniani.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal ahimiza uwekezaji kwenye sayansi, teknolojia

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amesema nchi za Afrika haziwezi kuendelea pasipo kuwekeza kwenye masomo ya sayansi na teknolojia.

 

11 years ago

Habarileo

‘Kila kituo cha afya kiwe na chumba cha upasuaji’

MGANGA Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mbando, amesema kila halmashauri nchini inapaswa kujenga vyumba vya upasuaji katika vituo vyote vya afya.

 

11 years ago

Michuzi

KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAPONGEZA WAKUU WA MIKOA KATIKA JITIHADA ZAO ZA KUHAMASISHA UWEKEZAJI MIKOA YA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji amewapongeza Wakuu wa Mikoa wa Kanda ya Ziwa katika juhudi zao za kuhakikisha Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa linafanyika.
Mikoa ambayo itashiriki katika Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Ziwa ni Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kagera na Shinyanga Kongamano ambalo kwa pamoja litawakutanisha Wawekezaji pamoja na Serikali katika kujadili vivutio vya Uwekezaji vinavyopatikana katika mikoa hiyo ya kanda ya Ziwa.
Kituo cha Uwekezaji Kimejizatiti...

 

10 years ago

Vijimambo

CHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO NA STAA SPOTI CHAZIZIMA KWA HUZUNI BAADA YA KUFIWA NA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE

 Marehemu  Ramadhani Kibanike enzi za uhai wake. Mhariri Mkuu wa Gazeti la Jambo Leo, Julian Msacky na Mwandishi wa Habari, Stela Kessy (kulia), wakiendelea na kazi huku wakiwa na hudhuni baada ya kupokea taarifa ya kifo cha Kibanike leo jioni. Mwanahabari Celina Mathew akilia kwa uchungu baada ya kupokea taarifa hiyo.
 Ofisa Matangazo, Kinai akiwa amepigwa butwaa kutokana na  kifo hicho. Wanahabari Nyendo Mohamed (katikati), Edith Msuya (kulia) na  Magendela Hamisi wakiwa katika hali ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Chumba cha mtoto usipime!

chumba1Chumba maalum cha mtoto wa Diamond Platnumz.
Musa Mateja, GPL
Staa wa Bongo Fleva Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, wameandaa chumba maalum cha mtoto wao wa kike ajaye na kuweka vifaa na vitu vya gharama kubwa.
TUJIUNGE ‘WHITE HOUSE’

Kwa mujibu wa mtu wa karibu na familia ya Diamond, baada ya kutenga chumba hicho maalum kwenye ‘White House’ ya rais huyo wa Wasafi Classic Baby (WCB) iliyopo Madale-Tegeta jijini Dar, kilichofuata ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani