Chumba cha mtoto usipime!
Chumba maalum cha mtoto wa Diamond Platnumz.
Musa Mateja, GPL
Staa wa Bongo Fleva Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, wameandaa chumba maalum cha mtoto wao wa kike ajaye na kuweka vifaa na vitu vya gharama kubwa.
TUJIUNGE ‘WHITE HOUSE’
Kwa mujibu wa mtu wa karibu na familia ya Diamond, baada ya kutenga chumba hicho maalum kwenye ‘White House’ ya rais huyo wa Wasafi Classic Baby (WCB) iliyopo Madale-Tegeta jijini Dar, kilichofuata ni...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD51-QpdnoGmmt3KpG3UyMVlkoW4Yr3EcYWsl-VXDFPq*vm0PQVt2dGHKQFZZUXonOH8obJpm5jf50aH4glmwfLvMx/Diamond.gif?width=650)
CHUMBA CHA MTOTO WA DIAMOND USIPIME!
11 years ago
Habarileo02 Apr
‘Kila kituo cha afya kiwe na chumba cha upasuaji’
MGANGA Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mbando, amesema kila halmashauri nchini inapaswa kujenga vyumba vya upasuaji katika vituo vyote vya afya.
10 years ago
VijimamboCHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO NA STAA SPOTI CHAZIZIMA KWA HUZUNI BAADA YA KUFIWA NA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE
11 years ago
Habarileo05 Jan
Muuguzi aishi chumba cha kujifungulia
WA J A W A Z I T O katika Kijiji cha Iglansoni wilayani Ikungi mkoani Singida hawana mahali pa kujifungulia baada ya muuguzi wa zahanati hiyo, Mary Misai kuweka makazi yake kwenye chumba hicho.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
RC ahimiza uwekezaji chumba cha maiti
MKUU wa Mkoa (RC) wa Njombe, Kapteni Mstaafu, Assery Msangi, amekaribisha watu binafsi, mashirika na taasisi yoyote kujitokeza kusaidia ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mkoa ya...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Qvxzmt4uuyXdRk6OF3VDmG4Uu*XjFyRFWpX1LpbQAGKcAwa6rXeGmmvsq1e*L5fjiiMNS9eTiZvAIduoHmNHgJLmZJWbVgCo/6fd72fff64L.jpg)
CHUMBA CHA PAULA WA P- FUNK KUFURU!
10 years ago
VijimamboMuuguzi anusurika kushambuliwa chumba cha operesheni
Muuguzi wa Hospitali ya Mkoa wa Shinyanga, Yasinta Thomas, amenusurika kushambuliwa na wananchi wakati akimhudumia binti wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), aliyekuwa mjamzito wa miezi sita na kisha kujifungua kabla ya muda watoto mapacha waliokufa.
Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dk. Fredrick Mlekwa, jana alisema tukio hilo lilitokea juzi saa 12 jioni wakati binti huyo alipofikishwa hospitali hapo akitokea katika Kituo cha Afya cha Kambarage, mjini...
10 years ago
BBCSwahili07 Jan
Uvamizi katika chumba cha habari Ufaransa
9 years ago
Global Publishers23 Dec