CHUMBA CHA MTOTO WA DIAMOND USIPIME!
Musa mateja Staa wa Bongo Fleva Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, wameandaa chumba maalum cha mtoto wao wa kike ajaye na kuweka vifaa na vitu vya gharama kubwa. ...Soma zaidi===>http://bit.ly/1IuEnf2
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo07 Aug
Chumba cha mtoto usipime!
Musa Mateja, GPL
Staa wa Bongo Fleva Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mama kijacho wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, wameandaa chumba maalum cha mtoto wao wa kike ajaye na kuweka vifaa na vitu vya gharama kubwa.
TUJIUNGE ‘WHITE HOUSE’
Kwa mujibu wa mtu wa karibu na familia ya Diamond, baada ya kutenga chumba hicho maalum kwenye ‘White House’ ya rais huyo wa Wasafi Classic Baby (WCB) iliyopo Madale-Tegeta jijini Dar, kilichofuata ni...
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Mapokezi ya Diamond usipime
9 years ago
GPLBIRTHDAY YA DIAMOND POMBE, MADEMU USIPIME!
10 years ago
GPLDIAMOND USIPIME, ANOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV
11 years ago
Habarileo02 Apr
‘Kila kituo cha afya kiwe na chumba cha upasuaji’
MGANGA Mkuu wa Serikali, Dk Donan Mbando, amesema kila halmashauri nchini inapaswa kujenga vyumba vya upasuaji katika vituo vyote vya afya.
10 years ago
VijimamboHIKI NDO KITANDA CHA MTOTO MTARAJIWA WA DIAMOND NI MADINI TUPU!!.
Crib la mtoto wa Diamond na Zari pande za Ikulu ya wasafi.
10 years ago
VijimamboCHUMBA CHA HABARI CHA GAZETI LA JAMBO LEO NA STAA SPOTI CHAZIZIMA KWA HUZUNI BAADA YA KUFIWA NA MENEJA WAO MZEE RAMADHANI KIBANIKE
Ofisa Matangazo, Kinai akiwa amepigwa butwaa kutokana na kifo hicho. Wanahabari Nyendo Mohamed (katikati), Edith Msuya (kulia) na Magendela Hamisi wakiwa katika hali ya...
11 years ago
Habarileo05 Jan
Muuguzi aishi chumba cha kujifungulia
WA J A W A Z I T O katika Kijiji cha Iglansoni wilayani Ikungi mkoani Singida hawana mahali pa kujifungulia baada ya muuguzi wa zahanati hiyo, Mary Misai kuweka makazi yake kwenye chumba hicho.
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
RC ahimiza uwekezaji chumba cha maiti
MKUU wa Mkoa (RC) wa Njombe, Kapteni Mstaafu, Assery Msangi, amekaribisha watu binafsi, mashirika na taasisi yoyote kujitokeza kusaidia ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mkoa ya...