BIRTHDAY YA DIAMOND POMBE, MADEMU USIPIME!
![](http://api.ning.com:80/files/ZahK2JNbKSupkc0FWo3wkfM2L6bbTMI7d*pNhMYPK3WDJ1eeQAQ7tPQm*MfRuWTXwKkkQ9DRF72EfZYc36rRi9oEm9V6hm48/dimond.jpg?width=650)
Musa mateja Usipime! Ndugu, jamaa na marafiki wa staa bab’kubwa Afrika Mashariki na Kati, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, wikiendi iliyopita wamekula bata la hatari katika sherehe ya kuzaliwa kwa msanii huyo, Ijumaa Wikienda linaripoti. Burudani na raha hizo zilifanyika nyumbani kwa Diamond, Madale- Tegeta jijini Dar, usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita na kuhudhuriwa na mastaa kibao. ‘Diamond...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies29 Sep
Birthday ya Wema jana: Diamond amnunulia gari jipya kama zawadi ya birthday
Jumapili ya September 28 ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mrembo aliyebeba taji la Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu. katika kusheherekea siku hiyo mpenzi wake Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz alithibitisha kwa vitendo kuwa mapenzi yao bado yako imara, kwa kumnunulia zawadi ya gari jipya aina ya Nissan.
Picha ya gari hilo la rangi nyeusi iliambaatana na ujumbe mzuri ambao Diamond alimwandikia wema kupitia akaunti yake ya Instagram yenye followers 236,841.
“Nlitama nikupe vingi, wenda...
10 years ago
Tanzania Daima13 Sep
Queen Darlin: Simtafutii ‘mademu’ Diamond
MSANII wa muziki wa bongo fleva ambaye pia ni dada wa msanii anayetamba kwa sasa Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, Mwajuma Abdul ‘Queen Darlin’ amekanusha tuhuma za kuwa ana mtindo wa...
10 years ago
Mwananchi03 Dec
Mapokezi ya Diamond usipime
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YLaeso7tISCuUceMOAnr-QS4oVn-2VjTFYNupv2dTv*Gakq4jWYvUvoLXhKAl*W4yj9WHd79ZdEp4gWIes-9t-b*lqVAsRb5/avra.jpg)
DIAMOND AKAMILISHA ‘TAKEU’ KWA MADEMU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vOQMXCMD51-QpdnoGmmt3KpG3UyMVlkoW4Yr3EcYWsl-VXDFPq*vm0PQVt2dGHKQFZZUXonOH8obJpm5jf50aH4glmwfLvMx/Diamond.gif?width=650)
CHUMBA CHA MTOTO WA DIAMOND USIPIME!
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/12196141_1352402261440855_4065294366996546731_n.jpg)
HAPPY BIRTHDAY DKT. JOHN POMBE MAGUFULI
10 years ago
GPLDIAMOND USIPIME, ANOGESHA SHEREHE YA UHURU DMV
10 years ago
CloudsFM03 Oct