Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Queen Darlin: Simtafutii ‘mademu’ Diamond

MSANII wa muziki wa bongo fleva ambaye pia ni dada wa msanii anayetamba kwa sasa Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, Mwajuma Abdul ‘Queen Darlin’ amekanusha tuhuma za kuwa ana mtindo wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

BIRTHDAY YA DIAMOND POMBE, MADEMU USIPIME!

Musa mateja Usipime! Ndugu, jamaa na marafiki wa staa bab’kubwa Afrika Mashariki na Kati, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, wikiendi iliyopita wamekula bata la hatari katika sherehe ya kuzaliwa kwa msanii huyo, Ijumaa Wikienda linaripoti.
Burudani na raha hizo zilifanyika nyumbani kwa Diamond, Madale- Tegeta jijini Dar, usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita na kuhudhuriwa na mastaa kibao. ‘Diamond...

 

10 years ago

GPL

DIAMOND AKAMILISHA ‘TAKEU’ KWA MADEMU

Stori: Hamida Hassan
Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ amekamilisha ‘TAKEU’ kwa mademu baada ya kufanikiwa kutembea na mademu wanaosifika kwa uzuri kutoka Tanzania, Kenya na Uganda. Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’. Historia inaonesha dogo huyo kutoka Tandale aliwahi kufanya kazi na msanii mrembo kutoka nchini Kenya, Avril na ikadaiwa licha ya kukutana kikazi jamaa alimsaliti mpenzi...

 

9 years ago

GPL

DIAMOND AMZAWADIA GARI QUEEN DARLEEN

Diamond (wa tatu kutoka kushoto), akiwaongoza wenzake kwa kumuimbia wimbo wa birthday dada yake. Queen Darleen akimshukuru kwa zawadi ya gari Diamond. Queen Darleen akimlisha keki Diamond.…

 

9 years ago

GPL

BABA DIAMOND: QUEEN DARLEEN NAYE KANISUSA

Baba wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma. MAYASA MARIWATA NA GLADNES MALLYA BABA wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’, Abdul Juma amesema kuwa, anaumia kuona hata binti yake Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’ sasa kamsusa kama ilivyo kwa kaka yake (Diamond).  Queen Darleen. Akizungumza na paparazi wetu, Mzee Abdul alisema: “Nashindwa kuelewa nini kimemsibu binti yangu huyu maana kipindi cha nyuma alikuwa...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Tiwa Savage — My Darlin’

Muimbaji wa kike kutoka Nigeria, Tiwa Savage ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao My Darlin’. Itazame hapa

 

10 years ago

GPL

MADENTI MNAZICHAPA KUGOMBEA MADEMU!

NIANZE kwa kuwasalimu wanafunzi wote, wa zamani na wa sasa, hasa wakati huu ambao ninafahamu wengi wenu mtakuwa katika mapumziko ya mwisho wa wiki. Ingawa kuwa watu kama mimi anko wenu, siku kama leo tunaendelea kuchapa kazi tu, hatuna wikiendi wala sikukuu. Ndiyo maana wakati nyinyi mkiwa mnafurahia sikukuu, bado siku hizo mnasikiliza redio, mnasoma magazeti na kuangalia televisheni. Wiki jana tulikutana hapa na kujadili jinsi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani