Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Rais Kikwete ahimiza uwekezaji katika chanjo

Rais Jakaya KikweteRAIS Jakaya Kikwete amesema kuwekeza katika chanjo, ni uwekezaji wa maana zaidi na wa akili zaidi, ambao mataifa yanapaswa kufanya katika kuboresha afya ya raia wake na hali ya baadaye ya mataifa duniani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Askofu Kilaini ahimiza uwekezaji katika ndoa

Kilaini(2)Na Joan John, Kagera

ASKOFU Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Bukoba, Mhashamu, Methodius Kilaini amewataka wanandoa nchini kuwekeza katika ndoa zao ili kuweza kujenga familia imara.

Askofu Kilaini alisema hayo juzi katika misa ya pili iliyofanyika katika Kanisa Katoliki mjini Bukoba ambapo alisema kuwa bila wanandoa kuwekeza katika ndoa zao, kamwe hawawezi kujenga familia imara.

Alisema Wakristo wanapaswa kujenga tabia ya uvumilivu, upendo, amani, kuthaminiana, kuheshimiana katika...

 

10 years ago

Tanzania Daima

RC Mahiza ahimiza chanjo ya surua na rubella

MKUU wa Mkoa wa Pwani, Mwantum Mahiza, amewataka wananchi kushiriki kikamilifu kwenye zoezi la chanjo ya surua na rubella inayoanza leo hadi Oktoba 24 mwaka huu na kwamba hazina madhara....

 

11 years ago

Dewji Blog

Watoto 4000 kupatiwa chanjo katika Wiki ya Chanjo — Parseko Kone, Singida

DSC07952

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua utoaji wa chanjo kimkoa katika hospitali ya St.Calorus iliyopo kijiji cha Mtinko. Jumla ya watoto 3,999 wanatarajiwa kupatiwa chanjo mbalimbali.

DSC07953

DSC07970

Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza na wakazi wa tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi la chanjo kimkoa lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika Aprili 30 mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).

Na Nathaniel Limu

JUMLA ya watoto 3,999 mkoani...

 

11 years ago

Habarileo

RC ahimiza elimu chanjo ya saratani kwa wasichana

WAKUU wa wilaya, wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuelimisha jamii kuhusu utoaji wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi. Chanjo hiyo itafanywa kwa wasichana wenye umri wa kati ya miaka tisa na 13.

 

10 years ago

Vijimambo

RAIS KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO YA WATOTO NCHI MASIKINI DUNIANI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Kansela Angela Merkel wa Ujerumani, Rais wa Mali Mhe Ibrahim Boubacar Keïta, Waziri Mkuu wa Norway Mhe. Erna Solbergna Mwenyekiti Mwenza wa Bill&Melinda GatesFoundation, Bw. Bill Gates, wakiwa jijini Berlin, Ujerumani, kabla ya kuanza kwa mkubwa wa kuchangisha fedha katika mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza...

 

11 years ago

Tanzania Daima

RC ahimiza uwekezaji chumba cha maiti

MKUU wa Mkoa (RC) wa Njombe, Kapteni Mstaafu, Assery Msangi, amekaribisha watu binafsi, mashirika na taasisi yoyote kujitokeza kusaidia ujenzi wa chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Mkoa ya...

 

10 years ago

GPL

RAIS KIKWETE AHAMASISHA MCHANGO WA DOLA BILIONI 7.5 KWA AJILI YA CHANJO YA WATOTO NCHI MASIKINI DUNIANI‏

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika hatua mbalimbali za mkutano wa kimataifa wa kujadili na kuchangia upya juhudi za kimataifa za taasisi ya Global Alliance for Vaccines and Immunisation (GAVI) ambayo imefanya kazi kubwa ya kusambaza chanjo duniani ambapo mpaka sasa watoto milioni 500 wamepata chanjo za kuzuia magonjwa mbali mbali na wengine milioni saba wameokolewa katika hatari ya kupoteza maisha.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Askofu ahimiza uwekezaji elimu ya juu nchini

>Askofu wa KKKT, Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dk Stephen Munga, amezungumzia umuhimu wa Tanzania kuwekeza katika elimu ya juu na kwamba kuwa taifa lolote lisilowekeza katika elimu litakuwa taabani kimaendeleo hasa ya kiuchumi.

 

11 years ago

Habarileo

Dk Bilal ahimiza uwekezaji kwenye sayansi, teknolojia

Makamu wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal MAKAMU wa Rais, Dk Mohammed Gharib Bilal amesema nchi za Afrika haziwezi kuendelea pasipo kuwekeza kwenye masomo ya sayansi na teknolojia.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani