Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waiponda Bajeti Wizara ya Afya

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema Serikali imeweka rehani wananchi wake kutokana na uamuzi wake wa kuchangia kiasi kidogo cha fedha za maendeleo za Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii mwaka 2014/15.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

BAJETI 2014/2015: Bajeti yawagawa wabunge, CCM waipongeza, upinzani waiponda

>Bajeti ya Serikali iliyowasilishwa jana bungeni na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya Salum imewagawa wabunge ambao baadhi wameipongeza, huku wengine wakiiponda.

 

11 years ago

Mwananchi

MAONI BAJETI: Wananchi mikoani waiponda Bajeti 2014

>Baadhi ya wakazi wa mikoa mbalimbali nchini, wamedai kuwa bajeti ya mwaka 2014/2015 iliyosomwa bungeni juzi mjini Dodoma na Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, haiwezi kumkomboa mwananchi kutoka katika umaskini.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawakilishi waikataa Bajeti ya Wizara ya Afya

Baraza la Wawakilishi Zanzibar limeamua kuondoa Bajeti ya Wizara ya Afya baada ya wajumbe wa baraza hilo kuipinga kwa madai kuwa matumizi yaliyopendekezwa hayajazingatia kuondoa kero zinazoikabili sekta ya afya.

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti Wizara ya Afya Z'bar kupitiwa tena

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi watapitia tena vifungu vya bajeti ya Wizara ya Afya ambayo ilikwama mwishoni mwa wiki, baada ya wajumbe wengi kutoridhishwa na mgawanyo wa fedha katika maeneo muhimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Bajeti ya Wizara ya Afya yadaiwa kupungua kila mwaka

>Taasisi ya Sikika imebainisha kuwa fedha kwa ajili ya kununulia dawa zinazotengwa  katika bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii hupunguzwa kila mwaka katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli aitaka Wizara ya Afya kuongeza bajeti katika dawa za asili

Rais John Pombe Magufuli ameitaka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuweka nguvu na kuongeza  bajeti katika Kitengo cha Tiba asili/tiba mbadala ili kutengeneza dawa za asili kwa ajili ya kuponya magonjwa mbalimbali.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma wakati akizindua Jengo la Ofisi za TARURA zilizojengwa kwenye mji wa Mtumba.
"Nimeshatoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, kile kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti iongezwe ili watu...

 

5 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YAPOKEA MSAADA KUTOKA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO)



Na Khadija Khamis –Maelezo Zanzibar 28/04/2020.WIZARA ya Afya Zanzibar imepokea msaada wa vifaa mbali mbali vya kuthibiti maambukizi ya Corona kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 110.
Akipokea msaada huo, huko Wizara ya Afya Mnazimmoja Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar Dkt Jamala Adam Taib amelishukuru shirika hilo kwa kutoa msaada ambao utawasaidia wafanyakazi kutekeleza kazi zao kwa ufanisi pamoja na kujikinga na maambukizi ya...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi mabasi 6 kwa wakuu wa vyuo vya Afya kutoka katika maeneo mbalimbali .Mabasi hayo yatasaidia kuaondoa upotevu wa muda na adha ya usafiri waliyokuwa wakiipata wanafunzi,watumishi na wakufunzi wa vyuo hivyo kufika kwenye maeneo ya mafunzo kwa vitendo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akikata utepe kwenye basi moja...

 

10 years ago

Michuzi

Wizara ya Afya yapokea magari na vifaa vya afya kutoka WHO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari leo baada ya kupokea msaada wa magari manne na vifaa vya afya  kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Donald Mmbando (kushoto)akipokea moja ya funguo kati ya magari manne kutoka kwa Mwakilishi wa Shirika la Afya la Dunia(WHO),Dk. Rufaro Chotaro(kulia).Magari manne na vifaa vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani