WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHINI
![](http://1.bp.blogspot.com/-B0JHwJ_VYNs/VCQcXwKWu1I/AAAAAAAGluw/MLve-rqhY0E/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi mabasi 6 kwa wakuu wa vyuo vya Afya kutoka katika maeneo mbalimbali .Mabasi hayo yatasaidia kuaondoa upotevu wa muda na adha ya usafiri waliyokuwa wakiipata wanafunzi,watumishi na wakufunzi wa vyuo hivyo kufika kwenye maeneo ya mafunzo kwa vitendo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akikata utepe kwenye basi moja...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima26 Sep
Vyuo vya afya vyakabidhiwa mabasi
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imekabidhi mabasi sita kwa vyuo vya afya na uuguzi ambayo yamenunuliwa kwa ufadhili wa mradi wa Mfuko wa Dunia (Global Fund), mzunguko wa...
5 years ago
MichuziTICTS YAKABIDHI VIFAA VYA THAMANI YA MILIONI 182/- KWA WIZARA YA AFYA, MGANGA MKUU WA SERIKLI ATOA SHUKRANI KWA SEKTA BINAFSI
10 years ago
GPLGLOBAL FUND ROUND 9 YATOA MABASI 6 KWA WIZARA YA AFYA
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-VzJr97GZtJY/VHiGDuI2y1I/AAAAAAAGz8M/6-c5GBWn8Es/s72-c/unnamed%2B(20).jpg)
Wizara ya Afya yapokea magari na vifaa vya afya kutoka WHO
![](http://4.bp.blogspot.com/-VzJr97GZtJY/VHiGDuI2y1I/AAAAAAAGz8M/6-c5GBWn8Es/s1600/unnamed%2B(20).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-2bnS26_Ncdw/VHiGD3VabbI/AAAAAAAGz8Q/1d4gBai2jYU/s1600/unnamed%2B(21).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-BF_38glYPMU/VHiGCzTb7fI/AAAAAAAGz8E/Y2DFOn3xxWc/s1600/unnamed%2B(19).jpg)
9 years ago
VijimamboWIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII YAZINDUA MFUMO WA UTUNZAJI WA TAARIFA ZA VITUO VYA AFYA TANZANIA BARA
10 years ago
MichuziWLF YAKABIDHI NYUMBA ZENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 156 KWA AJILI YA WATUMISHI WA AFYA KATIKA KITUO CHA AFYA NGURUKA WILAYANI UVINZA
10 years ago
MichuziTHPS Yakabidhi Komputa kwa Vituo Vinane vya Afya Unguja na Pemba
10 years ago
Dewji Blog12 Jun
THPS yakabidhi Komputer kwa vituo vinane vya Afya Unguja na Pemba
Mkurugenzi Mtendaji wa THPS, Dr. Redempta Mbatia, akizungumza kabla ya kukabidhi seti za kumputer kwa vituo vya afya vinane vya Unguja na Pemba kwa ajili ya kutunzia kumbukumbu katika vituo vyao.
DR Mdahoma akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa Komputer kwa ajili ya kuwekea Kumbukumbu katika Vituo vya Afya vya Unguja na Pemba, makabidhiano hayo yamefanyika katika viwanja vya hoteli ya mazsons shangani Zanzibar.
Naibu Katibu Mku Wazara ya Afya Zanzibar Halima Maulid...
10 years ago
Mtanzania29 May
Chakula chazua balaa vyuo Wizara ya Afya
NA SHABANI MATUTU, DAR ES SAALAM
WIZARA ya Afya na Ustawi wa Jamii imewatangazia wanafunzi katika vyuo ambavyo vipo chini ya wizara hiyo kuanza kujitegemea kwa chakula kuanzia muhula ujao wa masomo 2015/2016.
Wizara imetoa taarifa kwa kuwaandikia barua wakuu wa vyuo vya Serikali vya Afya na Ustawi wa Jamii kwa kumbukumbu Namba JC.209/558/03/58 ya Mei 20, mwaka huu.
Barua hiyo iliyosainiwa na Dk. Otilia Gowelle kwa niaba ya Katibu Mkuu, ilieleza kuwa uamuzi huo umetokana na ongezeko kubwa la...