Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL FUND ROUND 9 YATOA MABASI 6 KWA WIZARA YA AFYA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Charles Pallangyo akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). …akipanda ndani ya basi.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MABASI 6 KWA VYUO VYA AFYA NCHINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam kabla ya kukabidhi mabasi 6 kwa wakuu wa vyuo vya Afya kutoka katika maeneo mbalimbali .Mabasi hayo yatasaidia kuaondoa upotevu wa muda na adha ya usafiri waliyokuwa wakiipata wanafunzi,watumishi na wakufunzi wa vyuo hivyo kufika kwenye maeneo ya mafunzo kwa vitendo. Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Charles Pallangyo akikata utepe kwenye basi moja...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YA AFYA YATOA SEMINA KWA WANAHABARI DAR

Mtaalamu wa ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ,Dk. Vida Makundi Mmbaga, akijibu maswali ya wanahabari.
Waandishi wakifuatilia kwa umakini.…

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI

Mkurugenzi Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma akifungua Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza katika Ukumbi wa Ofisi ya Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar. Dkt. Ahlam Ali akiwasilisha mada ya maradhi ya Presha katika Semina ya Waandishi wa Habari iliyohusu magonjwa yasiyoambukiza katika Ofisi ya Malaria Zanzibar Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Hassan Vuai akitoa mchango katika Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu ongezeko la...

 

5 years ago

Michuzi

SMZA YAFAFANUA ILIVYOFANIKIWA KUKABILIANA KWA KIASI KIKUBWA NA CORONA,YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ELIMU NA AFYA

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukuwa uamuzi wa kulegeza baadhi ya mambo mambo kumi yaliyowekwa baada ya kufanikiwa kukabiliana kwa kiasi kikubwa na mripuko wa Virusi vya Coroma vilivyoleta mtafaruki katika Mataifa mbali mbali Duniani.Uamuzi huo wa SMZ Unaungana na ule uliochukuliwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuviruhusu Vyuo vyote vya Elimu ya juu kuendelea na Programu zao kama kawaida kwa upande wa Zanzibar kuanzia Tarehe 1 Juni 2020.Akitoa Taarifa ya Serikali...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara ya Afya yatoa tamko kuhusu Kipindupindu

picha 1 (1)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Kushoto) akitoa tamko juu ya ugojwa wa kipindupindu alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam kulia ni Naibu waziri wa Wizara hiyo Dkt Hamisi Kigwangalla.

picha 9 (3)

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu (Katikati) akimjulia hali mmoja wa wagonjwa waliolazwa katika kambi ya kipindupindu iliyopo Mburahati Jijini Dare s salaam.

picha no 7

Waziri wa Afya, Maendeleo ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wizara Afya yatoa taarifa ya hali ya Kipindupindu nchini

ummy 1

Waziri Ummy Mwalimu alizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusiana na hali ya kipindupindu nchini ambapo hadi sasa ni mikoa 21 ya Tanzania Bara imeathirika. Jumla ya watu 12,222 wameugua kipindupindu na kati yao watu 196 wameshafariki.

ummy 2

Baadhi ya waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali wakimfuatilia waziri huyo(hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa hiyo.Hata hivyo Waziri Ummy ameagiza kila wiki (jumatatu) wizara yake kutoa  taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hali ya...

 

5 years ago

Michuzi

Wizara ya afya yatoa ufafanuzi maswali ya Wananchi kuhusu Corona

Na WAMJW-Dar es Salaam

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema amekuwa akipokea maoni, maswali na ushauri kutoka kwa wananchi wakitaka kujua jitihada mbalimbali za Serikali za kukabiliana na homa kali ya mapafu na amewaagiza wataalamu wake kuanza  kujibu maswali.

Waziri Ummy amesema  maswali, maoni na ushauri huo unatoka kwa wananchi kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na kituo cha wizara cha kupokea simu kuhusu ugonjwa wa homa ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani