Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bajeti ya Wizara ya Afya yadaiwa kupungua kila mwaka

>Taasisi ya Sikika imebainisha kuwa fedha kwa ajili ya kununulia dawa zinazotengwa  katika bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii hupunguzwa kila mwaka katika kipindi cha miaka mitano iliyopita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

‘Bajeti sekta ya afya, elimu zaongezeka kila mwaka’

SERIKALI imesema bajeti za sekta za afya na elimu zimekuwa zikiongezeka mwaka hadi mwaka sambamba na ukuaji wa uchumi. Naibu wa Fedha, Saada Mkuya Salum, alibainisha hayo bungeni jana alipokuwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Waiponda Bajeti Wizara ya Afya

Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imesema Serikali imeweka rehani wananchi wake kutokana na uamuzi wake wa kuchangia kiasi kidogo cha fedha za maendeleo za Bajeti ya Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii mwaka 2014/15.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawakilishi waikataa Bajeti ya Wizara ya Afya

Baraza la Wawakilishi Zanzibar limeamua kuondoa Bajeti ya Wizara ya Afya baada ya wajumbe wa baraza hilo kuipinga kwa madai kuwa matumizi yaliyopendekezwa hayajazingatia kuondoa kero zinazoikabili sekta ya afya.

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti Wizara ya Afya Z'bar kupitiwa tena

WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi watapitia tena vifungu vya bajeti ya Wizara ya Afya ambayo ilikwama mwishoni mwa wiki, baada ya wajumbe wengi kutoridhishwa na mgawanyo wa fedha katika maeneo muhimu.

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli aitaka Wizara ya Afya kuongeza bajeti katika dawa za asili

Rais John Pombe Magufuli ameitaka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kuweka nguvu na kuongeza  bajeti katika Kitengo cha Tiba asili/tiba mbadala ili kutengeneza dawa za asili kwa ajili ya kuponya magonjwa mbalimbali.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo leo jijini Dodoma wakati akizindua Jengo la Ofisi za TARURA zilizojengwa kwenye mji wa Mtumba.
"Nimeshatoa maelekezo kwa Wizara ya Afya, kile kitengo cha dawa asili kiendelezwe kwa nguvu zote na bajeti iongezwe ili watu...

 

11 years ago

Michuzi

Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 yapitishwa na Bunge

 Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara Bw.Uledi A.Mussa kushoto akimpongeza Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe.Abdallah Kigoda Mara baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge  Balozi wa kudumu wa Tanzania kwenye Umoja wa Mataifa UN Mhe. Modest J.Muro wapili kushoto akimpongeza Waziri wa Biashara na Viwanda  Mhe.Abdallah Kigoda Mara baada ya Bajeti ya  Wizara ya Viwanda na Biashara kwa Mwaka 2014/2015 kupitishwa na Bunge leo,wa kwanza...

 

11 years ago

Michuzi

Bunge lapitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015

 Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda kushoto akiwa amempa mkono Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akimpongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015.  Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda katikati akiwa akiwa ameshikana mikono  na Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Bw.Eliakim Maswi na  Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe Stephen Masele wakati akiwapongeza mara baada ya Bunge kupitisha Bajeti ya Wizara ya Nishati na...

 

11 years ago

Michuzi

Kambi ya Upinnzani yasusia Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015

 Wapinzani wakitoka nje ya ukumbi wa Bunge wakiongozwa na kiongozi wa Upinzani  Bungeni Mhe.Freeman Mbowe wakati Bunge likijadili Bajeti ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka 2014/2015.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani