Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uongozi Shirika la Reli wabanwa

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeBODI ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) wamebanwa na kutakiwa kuhakikisha kuwa kampuni hiyo inajiendesha na kufutiwa ruzuku ya serikali ifikapo mwaka wa fedha wa 2016/2017, vinginevyo waachie nafasi zao.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Shirika la Reli taabani kifedha

WIZARA ya Uchukuzi, imebainisha wazi kuwa hali ya kifedha ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) si nzuri kiasi cha kushindwa hata kukarabati kwa muda mrefu vituo vyake ambavyo kwa sasa vina hali mbaya.

 

11 years ago

Mwananchi

Walinzi watatu Shirika la Reli watinga kortini

Walinzi watatu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefikishwa katika Mahakama ya Ilala kujibu shtaka la wizi wa kompyuta na vifaa vyake vyenye thamani ya Sh4.8 milioni .

 

10 years ago

GPL

SITTA ACHUKUA HATUA KUHUSU MABEHEWA MABOVU YA SHIRIKA LA RELI

Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Samwel Sitta,  akitoa tamko.
Waziri Sitta akionyesha msisitizo wa jambo.
…Akisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (pichani hawapo).…

 

9 years ago

MillardAyo

Ninayo ripoti ya Rais Magufuli alivyothibitisha kumsimamisha Mkurugenzi shirika la reli

Siku ya December 22 2015 inanifikia ripoti nyingine inayohusiana na maamuzi ya Rais John Magufuli Ikulu Dar es Salaam. Ripoti yenyewe inahusu kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania RAHCO, Mhandisi Benhadard Tito. Kwenye ripoti hiyo kuna taarifa kwamba Mkurugenzi huyo amesimamishwa kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi katika mchakato […]

The post Ninayo ripoti ya Rais Magufuli alivyothibitisha kumsimamisha Mkurugenzi shirika la reli...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA RELI TANZANIA LAZINDUA MFUMO UKATAJI TIKETI KWA NJIA YA KIELEKTRONIKI

Shirika la Reli Tanzania – TRC lazindua rasmi mfumo mpya wa ukataji tiketi kwa njia ya kielekroniki katika hafla fupi iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano uliopo ofisi ya Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam Aprili 4, 2020.

Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mgeni rasmi Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Isack Kamwele, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi TRC Prof. John Wajanga Kondoro, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Ndugu Focus ,Mwakilishi kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao Bwana Benedictor...

 

11 years ago

Michuzi

Naibu waziri wa mambo ja nje wa Japan atembelea shirika la reli jijini Dar es salaam

 Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dk. Charles Tizeba akisalimiana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Bw. Norio Mitsuya, mara baada ya kuwasili katika stesheni ya  Shirika la Reli Tanzania(TRL) kuangalia namna usafiri wa Treni ya Dar es Salaam Unavyofanya kazi, leo mchana

 Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Dk Charles Tizeba, akimuonyesha mchoro wa njia ya treni ya Bara na ile ya inayofanya Safari zake kutoka stesheni mpaka Ubungo Maziwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio...

 

10 years ago

Michuzi

JK AKUTANA NA UONGOZI WA MAKAMPUNI YA CHINA YANAYOTAKA KUWEKEZA KATIKA UJENZI WA RELI NCHINI TANZANIA

Rais Dkt. Jakaya Kikwete akiangalia ramani ya Tanzania inayoonyesha mchoro wa reli ya Kati inayotarajiwa kujengwa upya na kwa viwango vya kisasa wakati alipokutana na uongozi wa juu wa makampuni ya China yakiongozwa na China Railway Group Ltd. Makampuni mengine ni SINOSURE, Exim Bank, China Development Bank na China Agriculture Development Bank. Rais Dkt. Kikwete yuko nchini China kwa ziara rasmi ya kikazi (State Visit).Rais Dkt. Jakaya Kikwete akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya...

 

5 years ago

CCM Blog

JAFO AUTAKA UONGOZI MPYA WA SHIRIKA LA ELIMU KUWA WABUNIFU



 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa Shirika la Elimu Kibaha, Prof Rafael Chibunda (kulia) leo jijini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Robert Shillingi. Waziri wa Nchi Ofis ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara yake, pamoja na Viongozi wapya wa Shirika la Elimu Kibaha baada ya leo kuwakabidhi vitendea kazi. Mwenyekiti wa Shirika la Elimu Kibaha Mkoani Pwani,...

 

5 years ago

Michuzi

JAFO AWATAKA UONGOZI MPYA WA SHIRIKA LA ELIMU KUFANYA KAZI KWA SPIDI


 Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti mpya wa Shirika la Elimu Kibaha, Prof Rafael Chibunda (kulia) leo jijini Dodoma. Katikati ni Mkurugenzi wa Bodi hiyo, Robert Shillingi. Waziri wa Nchi Ofis ya Rais-Tamisemi, Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara yake, pamoja na Viongozi wapya wa Shirika la Elimu Kibaha baada ya leo kuwakabidhi vitendea kazi. Mwenyekiti wa Shirika la Elimu Kibaha Mkoani Pwani,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani