Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shirika la Reli taabani kifedha

WIZARA ya Uchukuzi, imebainisha wazi kuwa hali ya kifedha ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) si nzuri kiasi cha kushindwa hata kukarabati kwa muda mrefu vituo vyake ambavyo kwa sasa vina hali mbaya.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali taabani kifedha

Sasa ni dhahiri kuwa Serikali iko taabani kifedha na hali hiyo imeanza kuwatia hofu wabunge hasa baada ya kubainika kwamba katika bajeti ya mwaka 2013/2014 pekee, kuna upungufu wa Sh1.8 trilioni.

 

10 years ago

Mtanzania

UDA taabani kifedha

UDANa Mwandishi wetu, Dar es Salaam
WAKATI Serikali ikitafakari kulipatia Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) haki ya kuendesha mradi mkubwa wa mabasi yaendayo kasi katika Jiji la Dar es Salaam, kuna habari kuwa shirika hilo linaelekea kufilisika.
Habari za uhakika kutoka ndani ya shirika hilo zimebainisha kuwa kwa sasa UDA liko katika hali mbaya kifedha kiasi cha kushindwa kumudu gharama za kujiendesha, ikiwamo kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara.
Chanzo hicho cha habari...

 

11 years ago

Mwananchi

KNCU Moshi taabani kifedha

Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimeelemewa na mzigo wa madeni na sasa kimeamua kuuza sehemu ya mali zake kulipa madeni hayo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Shirika la ndege taabani kwa kupakua mjusi

Shirika la ndege la Air India limejipata matatani baada ya habari kuenea kuwa lilimpakulia mteja wake mjusi

 

10 years ago

Habarileo

Uongozi Shirika la Reli wabanwa

Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison MwakyembeBODI ya Wakurugenzi na Menejimenti ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) wamebanwa na kutakiwa kuhakikisha kuwa kampuni hiyo inajiendesha na kufutiwa ruzuku ya serikali ifikapo mwaka wa fedha wa 2016/2017, vinginevyo waachie nafasi zao.

 

11 years ago

Mwananchi

Walinzi watatu Shirika la Reli watinga kortini

Walinzi watatu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) wamefikishwa katika Mahakama ya Ilala kujibu shtaka la wizi wa kompyuta na vifaa vyake vyenye thamani ya Sh4.8 milioni .

 

10 years ago

GPL

SITTA ACHUKUA HATUA KUHUSU MABEHEWA MABOVU YA SHIRIKA LA RELI

Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, Samwel Sitta,  akitoa tamko.
Waziri Sitta akionyesha msisitizo wa jambo.
…Akisikiliza maswali kutoka kwa wanahabari (pichani hawapo).…

 

9 years ago

Dewji Blog

Shirika la ndege la ETIHAD lapokea tuzo ya kimataifa baada ya kujiunga na mpango wa kupata mikopo ya kifedha

Etihad_Airways_-_Airbus_A380-861

Mkataba wenya thamani ya dola za kimarekani milioni $700m uliosainiwa na washirika wa ndege ya Etihad kwa ajili ya upanuzi wa shirika hilo umetambuliwa na shirika lenye sifa duniani katika nyanja ya masuala ya kifedha na uchumi la “International Financing Review (IFR)” na hivyo kuitunuku shirika la ndege la Etihad na tuzo maalum. 

Mkataba huo wa miaka mitano ulitambulika kama dhamana kubwa kabisa ya mwaka iliyosainiwa kutoka barana ulaya, mashariki ya kati na Afrika, katika hafla...

 

9 years ago

MillardAyo

Ninayo ripoti ya Rais Magufuli alivyothibitisha kumsimamisha Mkurugenzi shirika la reli

Siku ya December 22 2015 inanifikia ripoti nyingine inayohusiana na maamuzi ya Rais John Magufuli Ikulu Dar es Salaam. Ripoti yenyewe inahusu kusimamishwa kazi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni hodhi ya rasilimali za reli Tanzania RAHCO, Mhandisi Benhadard Tito. Kwenye ripoti hiyo kuna taarifa kwamba Mkurugenzi huyo amesimamishwa kwa tuhuma za kukiuka taratibu za manunuzi katika mchakato […]

The post Ninayo ripoti ya Rais Magufuli alivyothibitisha kumsimamisha Mkurugenzi shirika la reli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani