Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KNCU Moshi taabani kifedha

Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimeelemewa na mzigo wa madeni na sasa kimeamua kuuza sehemu ya mali zake kulipa madeni hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Serikali taabani kifedha

Sasa ni dhahiri kuwa Serikali iko taabani kifedha na hali hiyo imeanza kuwatia hofu wabunge hasa baada ya kubainika kwamba katika bajeti ya mwaka 2013/2014 pekee, kuna upungufu wa Sh1.8 trilioni.

 

10 years ago

Mtanzania

UDA taabani kifedha

UDANa Mwandishi wetu, Dar es Salaam
WAKATI Serikali ikitafakari kulipatia Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) haki ya kuendesha mradi mkubwa wa mabasi yaendayo kasi katika Jiji la Dar es Salaam, kuna habari kuwa shirika hilo linaelekea kufilisika.
Habari za uhakika kutoka ndani ya shirika hilo zimebainisha kuwa kwa sasa UDA liko katika hali mbaya kifedha kiasi cha kushindwa kumudu gharama za kujiendesha, ikiwamo kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara.
Chanzo hicho cha habari...

 

11 years ago

Habarileo

Shirika la Reli taabani kifedha

WIZARA ya Uchukuzi, imebainisha wazi kuwa hali ya kifedha ya Shirika la Reli Tanzania (TRL) si nzuri kiasi cha kushindwa hata kukarabati kwa muda mrefu vituo vyake ambavyo kwa sasa vina hali mbaya.

 

9 years ago

Mwananchi

Vikundi vya vicoba Moshi sasa taabani

Mfumo wa Benki ya Wananchi wa Vijijini (Vicoba), Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro unakabiliwa na changamoto za ukosefu wa mitaji na kusabaisha wanachama wake kuwa maskini.

 

10 years ago

Mwananchi

KNCU wamlaumu mrajisi wa vyama

Chama Kikuu cha Wakulima wa Kahawa Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU), kimemjia juu mrajisi wa vyama hivyo nchini kwa kile ilichodai kukwamisha ustawi na maendeleo yake.

 

10 years ago

Tanzania Daima

KNCU yalia na ofisi ya Mrajisi

CHAMA Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU), kimeishutumu ofisi ya Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini kikidai ni kikwazo katika ustawi wa ushirika kutokana na kuyumba katika utoaji wa uamuzi. Shutuma hizo...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuilipa KNCU mil. 225/-

SERIKALI imekubali kulipa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) 1984, Sh milioni 255. 1, kusaidia chama hicho kufidia hasara iliyotokana na mdororo wa uchumi duniani.

 

10 years ago

Michuzi

KNCU WAINGIZA MTAMBO MPYA WA KUKOBOLEA KAHAWA

Mtambo mpya wa kisasa wa kukobolea Kahawa ulionunuliwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa zao la Kahawa mkoani Kilimanjaro kwa gaharama za dola laki 9.48 ukishushwa katika kiwanda.
Mota ya kuzungusha mashine wakati wa ukoboaji ikishushwa ikiwa ni sehemu ya mtambo mpya wa kukobolea Kahawa utakaofungwa katika kiwanda cha Cofee Curing.

BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Mwananchi

KNCU yazidi kuing’ang’ania Serikali

Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa wa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimezidi kuibana Serikali kikisisitiza kuwa kinastahili kulipwa Sh255.1 milioni, kama fidia ya mdodoro wa uchumi wa mwaka 2008.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani