Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vikundi vya vicoba Moshi sasa taabani

Mfumo wa Benki ya Wananchi wa Vijijini (Vicoba), Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro unakabiliwa na changamoto za ukosefu wa mitaji na kusabaisha wanachama wake kuwa maskini.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

VIKUNDI VYA BENKI ZA KIJAMII"VICOBA"WAPATIWA MAFUNZO MAALUMU NA VODACOM TANZANIA

Baadhi ya waratibu mbalimbali wa Vikundi vya Benki za Kijamii VIKOBA wakimsikiliza Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin,alipokuwa akitoa mafunzo juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti,mafunzo hayo yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki za kijamii jijini Dar es Salaam yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao.Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin(kushoto)akimwelekeza...

 

10 years ago

GPL

VIKUNDI VYA BENKI ZA KIJAMII"VICOBA"WAPATIWA MAFUNZO MAALUMU NA VODACOM TANZANIA‏

Baadhi ya waratibu mbalimbali wa Vikundi vya Benki za Kijamii VIKOBA wakimsikiliza  Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin,alipokuwa akitoa mafunzo juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti,mafunzo hayo yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki za kijamii  jijini Dar es Salaam yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao.… ...

 

11 years ago

Mwananchi

Karatu sasa kugawa matrekta 50 kwa vikundi vya wakulima

Halmashauri ya Wilaya ya Karatu, Mkoa wa Arusha, imepanga kutoa zaidi ya matrekta 50 kwa vikundi vya wakulima, ikiwa ni sehemu ya mikakati ya kuboresha kilimo.

 

11 years ago

Mwananchi

KNCU Moshi taabani kifedha

Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimeelemewa na mzigo wa madeni na sasa kimeamua kuuza sehemu ya mali zake kulipa madeni hayo.

 

11 years ago

Habarileo

Msajili akerwa na vikundi vya ulinzi vya Chadema, CCM

Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty NyahozaOFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa imekiri kukerwa na vikundi vya ulinzi vya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

9 years ago

StarTV

Polisi yapiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul

Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mafunzo, Paul Chagonja

Polisi  nchini imepiga marufuku vikundi vya ulinzi vya vyama vya kisiasa , vyenye mwelekeo wa kijeshi kufanya kazi za ulinzi hadharani kwa madai kuwa  vinaingilia majukumu yao.

Onyo hilo lilitolewa jana na Kamishna wa Polisi–Operesheni na Mfunzo, Paul Chagonja wakati akizungumza na waaandishi wa habari Makao Makuu ya Polisi, Dar es Salaam.

Chagonja alivitaja vikundi hivyo na vyama vyao kwenye mabano kuwa ni Green Guard (CCM),...

 

9 years ago

Michuzi

MFUKO WA GEPF KUSHIRIKIANA NA UMOJA WA VICOBA WA UYACODE KATIKA KUTOA KINGA YA HIFADHI YA JAMII KWA WANACHAMA WA VICOBA

Mratibu wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akimkaribisha mgeni rasmi wa uzinduzi wa Kana vicoba Group Bw Aloyce Ntukamazina kwa kumueleza machache kabla ya uzinduzi rasmi, aliye katikati ni meneja wa GEPF mkoa wa kinondoni Bw Mohammed Nyallo.Mratibu wa Umoja wa Vikoba wa Uyacode Bw Aldo Lusinde akelezea mafanikio na matarajio ya Umoja wa Uyacode wenye jumla ya wanachama 27,000 na ofisi katika mikoa 18 ya Tanzania Bara na mmoja wa Zanzibar Mkuu wa Kitengo cha masoko kutoka GEPF Bw Aloyce...

 

9 years ago

Dewji Blog

SEMA wavishauri vikundi vya kuweka na kukopa (SACCOS) vya Iramba Singida kuanzisha benki yao

IMG_0942

Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye hafla ya sherehe ya kikundi   cha kuweka na kukopa cha Tuinuane kijiji cha Kisonga wilaya ya Iramba, kumaliza mwaka kwa mafanikio. Sherehe hiyo iliyofanyikia kwenye ofisi ya kikundi hicho.

IMG_0945

Meneja wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku akimpa mama msaada wa shilingi 50,000 zisaidie kumnunulia Neema Jonson (29) mkazi wa kijiji cha Mgongo wilaya ya Iramba kitanda. Neema ni mlemavu wa miguu na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani