VIKUNDI VYA BENKI ZA KIJAMII"VICOBA"WAPATIWA MAFUNZO MAALUMU NA VODACOM TANZANIA

Baadhi ya waratibu mbalimbali wa Vikundi vya Benki za Kijamii VIKOBA wakimsikiliza Meneja huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Simon Martin,alipokuwa akitoa mafunzo juu ya matumizi ya simu za mkononi kwa kutumia Intaneti,mafunzo hayo yalifanyika makao makuu ya vikundi hivyo vya Benki za kijamii jijini Dar es Salaam yakiwa na lengo la kuwawezesha kujua namna ya kutumia mawasiliano katika kuboresha shughuli zao.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 Jan
VIKUNDI VYA BENKI ZA KIJAMII"VICOBA"WAPATIWA MAFUNZO MAALUMU NA VODACOM TANZANIA


10 years ago
GPL
WAFANYAKAZI WA VODACOM TANZANIA WAENDELEA KUNUFAIKA NA MAFUNZO YA JINSIA
10 years ago
GPL
BAADHI YA MAOFISA WA JESHI LA POLISI NCHINI WAPATIWA MAFUNZO MAALUM NA VODACOM TANZANIA
9 years ago
Dewji Blog15 Dec
SEMA wavishauri vikundi vya kuweka na kukopa (SACCOS) vya Iramba Singida kuanzisha benki yao
Meneja mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA, Ivo Manyanku, akizungumza kwenye hafla ya sherehe ya kikundi cha kuweka na kukopa cha Tuinuane kijiji cha Kisonga wilaya ya Iramba, kumaliza mwaka kwa mafanikio. Sherehe hiyo iliyofanyikia kwenye ofisi ya kikundi hicho.
5 years ago
CCM Blog
BENKI YA NMB NA SatF ZAZINDUA UTOAJI WA HUDUMA ZA KIDIJITALI KWA VIKUNDI VYA KUWEKA NA KUKOPA

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna (kushoto) na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Ndogo na za Kati wa NMB - Filbert Mponzi (Kulia) wakiwa wameshika alama ya uzinduzi rasmi wa akaunti ya NMB Pamoja. Katikati ni Mteja wa NMB Bi. Zaina Mikidadi, kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB - Benedicto Baragomwa, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Serikali wa NMB Alfred Shao na Kaimu Afisa Mkuu Rasilimali watu- Emmanuel Akonaay.
Benki ya NMB na kampuni ya Savings...
11 years ago
GPL
MKURUGENZI WA NBC BENKI AWAPIGA MSASA WAFANYAKAZI WANAWAKE WA VODACOM
11 years ago
GPLMKUU WA BIASHARA ENDELEVU WA VODACOM AKAGUA MAENDELEO YA ELIMU YA MAFUNZO YA KOMPYUTA KATIKA SHULE YA SEKONDARI KAMBANGWA
10 years ago
GPLMKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKABIDHI MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFALI ZILIZOTOLEWA NA (NHC) KWA VIKUNDI VYA VIJANA