KNCU yalia na ofisi ya Mrajisi
CHAMA Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU), kimeishutumu ofisi ya Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini kikidai ni kikwazo katika ustawi wa ushirika kutokana na kuyumba katika utoaji wa uamuzi. Shutuma hizo...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi27 Oct
KNCU wamlaumu mrajisi wa vyama
Chama Kikuu cha Wakulima wa Kahawa Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU), kimemjia juu mrajisi wa vyama hivyo nchini kwa kile ilichodai kukwamisha ustawi na maendeleo yake.
11 years ago
Mwananchi04 May
KNCU Moshi taabani kifedha
Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimeelemewa na mzigo wa madeni na sasa kimeamua kuuza sehemu ya mali zake kulipa madeni hayo.
11 years ago
Habarileo27 Jan
Serikali kuilipa KNCU mil. 225/-
SERIKALI imekubali kulipa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) 1984, Sh milioni 255. 1, kusaidia chama hicho kufidia hasara iliyotokana na mdororo wa uchumi duniani.
5 years ago
MichuziMRAJISI MKUU MAHAKAMA KUU ZANZIBAR ASITISHA USIKILIZAJI WA KESI ZANZIBAR
Na Mwashungi Tahir Maelezo 26-3-2020MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar imesitisha usikilizaji wa kesi zote za jinai na madai kwa muda ili kuepuka mkusanyiko wa watu ikiwa ni kuchukua tahadhari ya maambukizi ya maradhi ya virusi vya Corona yaliyosheheni duniani kote.
Hayo yameelezwa na Mrajis wa Mahakama hiyo Mohamed Ali Mohamed huko ofisini kwake Vuga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua za kiutawala na dharura za kukinga na kupunguza maambukizi ya virusi hivyo vya...
Hayo yameelezwa na Mrajis wa Mahakama hiyo Mohamed Ali Mohamed huko ofisini kwake Vuga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua za kiutawala na dharura za kukinga na kupunguza maambukizi ya virusi hivyo vya...
11 years ago
Mwananchi01 Feb
KNCU yazidi kuing’ang’ania Serikali
Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa wa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimezidi kuibana Serikali kikisisitiza kuwa kinastahili kulipwa Sh255.1 milioni, kama fidia ya mdodoro wa uchumi wa mwaka 2008.
10 years ago
MichuziKNCU WAINGIZA MTAMBO MPYA WA KUKOBOLEA KAHAWA
BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Mrema azidi kuiumbua KNCU K’njaro isifidiwe
>Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema amekijia juu Chama cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa Mkoa wa Kilimanjaro, (KNCU) amekionya kwa kukitaka kisimchafue mbele ya wapiga kura wake.
11 years ago
Mwananchi05 Feb
KNCU yakanusha kukopa wakulima kahawa yao
>Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimesema hakijawahi kukopa wakulima kwani kinachofanya ni ukusanyaji peke yake.
11 years ago
Mwananchi18 Aug
KNCU yaanza kusaka soko Korea na China
Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa mkoani Kilimanjaro (KNCU), kimeanza kujitanua kibiashara kwa kutafuta masoko mapya katika nchi za Korea na China.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
06-May-2025 in Tanzania