KNCU wamlaumu mrajisi wa vyama
Chama Kikuu cha Wakulima wa Kahawa Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU), kimemjia juu mrajisi wa vyama hivyo nchini kwa kile ilichodai kukwamisha ustawi na maendeleo yake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima30 Oct
KNCU yalia na ofisi ya Mrajisi
CHAMA Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU), kimeishutumu ofisi ya Mrajisi wa vyama vya ushirika nchini kikidai ni kikwazo katika ustawi wa ushirika kutokana na kuyumba katika utoaji wa uamuzi. Shutuma hizo...
11 years ago
Mwananchi04 May
KNCU Moshi taabani kifedha
11 years ago
Habarileo27 Jan
Serikali kuilipa KNCU mil. 225/-
SERIKALI imekubali kulipa Chama Kikuu cha Ushirika mkoani Kilimanjaro (KNCU) 1984, Sh milioni 255. 1, kusaidia chama hicho kufidia hasara iliyotokana na mdororo wa uchumi duniani.
5 years ago
MichuziMRAJISI MKUU MAHAKAMA KUU ZANZIBAR ASITISHA USIKILIZAJI WA KESI ZANZIBAR
Hayo yameelezwa na Mrajis wa Mahakama hiyo Mohamed Ali Mohamed huko ofisini kwake Vuga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua za kiutawala na dharura za kukinga na kupunguza maambukizi ya virusi hivyo vya...
11 years ago
Mwananchi03 Feb
Mrema azidi kuiumbua KNCU K’njaro isifidiwe
10 years ago
MichuziKNCU WAINGIZA MTAMBO MPYA WA KUKOBOLEA KAHAWA
Mota ya kuzungusha mashine wakati wa ukoboaji ikishushwa ikiwa ni sehemu ya mtambo mpya wa kukobolea Kahawa utakaofungwa katika kiwanda cha Cofee Curing.
BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI
11 years ago
Mwananchi05 Feb
KNCU yakanusha kukopa wakulima kahawa yao
10 years ago
Mwananchi18 Aug
KNCU yaanza kusaka soko Korea na China
11 years ago
Mwananchi01 Feb
KNCU yazidi kuing’ang’ania Serikali