MRAJISI MKUU MAHAKAMA KUU ZANZIBAR ASITISHA USIKILIZAJI WA KESI ZANZIBAR
Na Mwashungi Tahir Maelezo 26-3-2020MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar imesitisha usikilizaji wa kesi zote za jinai na madai kwa muda ili kuepuka mkusanyiko wa watu ikiwa ni kuchukua tahadhari ya maambukizi ya maradhi ya virusi vya Corona yaliyosheheni duniani kote.
Hayo yameelezwa na Mrajis wa Mahakama hiyo Mohamed Ali Mohamed huko ofisini kwake Vuga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua za kiutawala na dharura za kukinga na kupunguza maambukizi ya virusi hivyo vya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Naibu mwanasheria mkuu aomba mahakama kuu itupilie mbali kesi ya kikatiba dhidi ya waziri mkuu

George Masaju (pichani) amedai mahakamani katika kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na Kituo cha Haki za Binadamu (LHRC) na Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) dhidi Waziri Mkuu Mizengo Pinda kwamba kwa mujibu wa katiba mamlaka ya mahakama kuingilia mwenendo wa bunge yameondolewa.
Pia, Mhe Masaju amedai kuwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi bunge halina mamlaka ya kuingilia mwenendo wa mahakama na kwamba kesi iliyopo mahakamani haina mashiko ya kisheria mahakama...
5 years ago
Michuzi
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AONGOZA DUA YA KUMUOMBEA RAIS WA KWANZA WA ZANZIBAR MAREHEMU MZEE ABEID AMANI KARUME ILIOFANYIKA VIWANJA VYA AFISI KUU YA CCM ZANZIBAR


5 years ago
CCM Blog
JAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR MKUSA ISSAC SEPETU AMEFARIKI DUNIA LEO

10 years ago
VijimamboJAJI MKUU ZANZIBAR ATEMBELEA MAHAKAMA PEMBA
5 years ago
CCM Blog
JAJI SEPETU WA MAHAKAMA KUU ZANZIBAR AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MBUZINI

NA ANDREW CHALE, UNGUJA,ZANZIBAR
JAJI wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mhe Mkusa Issack Sepetu amefariki Dunia asubuhi ya leo na mjini hapa.
Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Habari wa Mahakama Kuu Zanzibar, asubuhi ya leo February 16, ilieleza taarifa juu ya kifo hicho.
Pia inaelezwa kuwa, maziko yanataraji kufanyika leo saa 10 Kijijini kwao Mbuzini.
Enzi za uhai wake amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na baadae Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar.
5 years ago
Michuzi
JAJI SEPETU WA MAHAKAMA KUU ZANZIBAR AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MBUZINI

JAJI wa Mahakama kuu ya Zanzibar Mhe Mkusa Issack Sepetu amefariki dunia asubuhi ya leo na mjini hapa.
Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Habari wa Mahakama Kuu Zanzibar, asubuhi ya leo February 16, ilieza taarifa juu ya kifo hicho.
Pia inaelezwa kuwa, maziko yanataraji kufanyika leo saa 10 Kijijini kwao Mbuzini.
Enzi za uhai wake amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwanasheria mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na baadae Kaimu jaji mkuu wa Zanzibar.
10 years ago
Vijimambo
JAJI MKU WA ZANZIBAR MHE. OMAR OTHMAN MAKUNGU, AZINDUA MAHAKAMA YA BIASHARA ZANZIBAR. MAY 18.






9 years ago
StarTV29 Dec
 Mahakama Kuu yamfutia kesi Dk. Mwakyembe kuhusu Kesi Za Kupinga Matokeo
Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya imeitupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi iliyofunguliwa na aliyekuwa Mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Abraham Mwanyamaki, dhidi ya Mbunge wa Kyela na Waziri wa Katiba na Sheria, Dokta Harrison Mwakyembe.
Mahakama imefikia hatua hiyo baada ya Mwanyamaki kushindwa kulipa ada ya gharama za uendeshaji wa kesi hiyo shilingi Milioni Tatu katika muda wa Siku 14 uliowekwa kisheria.
Baada ya uchaguzi mkuu...
10 years ago
Michuzi
JUST IN: MAHAKAMA KUU imeifutilia mbali kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chadema

Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeifutilia mbali kesi iliyofunguliwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe dhidi ya Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya kukubali mapingamizi yaliwasilishwa na chama hicho.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Richard Mziray baada ya kupitia hoja za pande zote mbili kuhusu mapingamizi ya Chadema.
Mapema Saa 3:20 asubuhi Jaji Mziray alisoma uamuzi huo mbele ya wanaodaiwa kuwa wanachama huku upande...