Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR MKUSA ISSAC SEPETU AMEFARIKI DUNIA LEO

Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mkusa Issac Sepetu amefariki Dunia leo. Tutawaletea baadaye aarifa za kina. Blog ya Taifa ya CCM inatoa pole kwa Ndugu, jamaa na marafiki was Jaji Sepetu.

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AJUMUIKA NA WANANCHI KATIKA MAZIKO YA JAJI WA MAHKAMA KUU ZANZIBAR MKUSA SEPETU ALIYEZIKWA KIJIJI KWAO MBUZINI UNGUJA LEO.



 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitia mchanga katika kaburi lililokuwa na  mwili wa Marehemu Jaji wa Mahkama Kuu Zanzibar Jaji Mkusa Sepetu , wakati wa maziko hayo yaliofanyika Kijiji kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 16-2-2020( RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

5 years ago

CCM Blog

JAJI SEPETU WA MAHAKAMA KUU ZANZIBAR AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MBUZINI


NA ANDREW CHALE, UNGUJA,ZANZIBAR 

JAJI wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mhe Mkusa Issack Sepetu amefariki Dunia asubuhi ya leo na mjini hapa.

Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Habari wa Mahakama Kuu Zanzibar, asubuhi ya leo February 16, ilieleza taarifa juu ya kifo hicho.

Pia inaelezwa kuwa, maziko yanataraji kufanyika leo saa 10 Kijijini kwao Mbuzini.

Enzi za uhai wake amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na baadae Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar.

 

5 years ago

Michuzi

JAJI SEPETU WA MAHAKAMA KUU ZANZIBAR AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MBUZINI

NA ANDREW CHALE, UNGUJA,ZANZIBAR

JAJI wa Mahakama kuu ya Zanzibar Mhe Mkusa Issack Sepetu amefariki dunia asubuhi ya leo na mjini hapa.

Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Habari wa Mahakama Kuu Zanzibar, asubuhi ya leo February 16, ilieza taarifa juu ya kifo hicho.

Pia inaelezwa kuwa, maziko yanataraji kufanyika leo saa 10 Kijijini kwao Mbuzini.

Enzi za uhai wake amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwanasheria mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na baadae Kaimu jaji mkuu wa Zanzibar. 

 

10 years ago

Michuzi

JK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ally Lilla na Katibu Mkuu kiongozi katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu 13 na Jaji wa Mahakama ya Rufaa mmoja aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2015.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKU WA ZANZIBAR MHE. OMAR OTHMAN MAKUNGU, AZINDUA MAHAKAMA YA BIASHARA ZANZIBAR. MAY 18.

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akitoa hutuba wakati wa uzinduzi wa Mahakama ya biashara huko Mahakama kuu Vunga Zanzibar. WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.JAJI mkuu akikata utepe kuzindua mahakama ya biashara. Jaji Mkuu akifuahia jambo na Washiriki.Picha ya pamoja

 

10 years ago

Habarileo

Jaji Mahakama Kuu alia na ada kubwa za mawakili

JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa, Mary Shangali amesema serikali ina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata huduma za kimahakama bila vikwazo vya kiufundi wala gharama kubwa za ada au malipo ya mawakili.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam. Jaji Kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jaji Shaban Ally Lila (kulia) akitia saini hati ya Kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa kwake  leo jijini Dar es Salaam. Katikati mwenye miwani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akishuhudia tukio hilo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

5 years ago

Michuzi

MRAJISI MKUU MAHAKAMA KUU ZANZIBAR ASITISHA USIKILIZAJI WA KESI ZANZIBAR

Na Mwashungi Tahir Maelezo 26-3-2020MAHAKAMA Kuu ya Zanzibar imesitisha usikilizaji wa kesi zote za jinai na madai kwa muda ili kuepuka mkusanyiko wa watu ikiwa ni kuchukua tahadhari ya maambukizi ya maradhi ya virusi vya Corona yaliyosheheni duniani kote.
Hayo yameelezwa na Mrajis wa Mahakama hiyo Mohamed Ali Mohamed huko ofisini kwake Vuga wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari kuhusu hatua za kiutawala na dharura za kukinga na kupunguza maambukizi ya virusi hivyo vya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani