Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jaji Mahakama Kuu alia na ada kubwa za mawakili

JAJI Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Iringa, Mary Shangali amesema serikali ina wajibu wa kuhakikisha wananchi wanapata huduma za kimahakama bila vikwazo vya kiufundi wala gharama kubwa za ada au malipo ya mawakili.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mahakama Kuu yaonya mawakili

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha imewaonya baadhi ya mawakili na mahakimu kuacha mara moja tabia ya kugeuza mahakama kuwa kichaka vya kuchelewesha upatikanaji wa haki, hali hiyo ikitajwa kwa kiasi kikubwa kuchangiwa na baadhi yao kuendekeza maslahi binafsi.

 

10 years ago

Michuzi

JK aapisha jaji mmoja wa mahakama ya rufani na 13 wa mahakama kuu Ikulu jijini Dar es salaam

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiwa na Waziri wa Sheria na Katiba Dkt Asha-Rose Migiro, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman, Jaji Kiongozi Mhe Shaaban Ally Lilla na Katibu Mkuu kiongozi katika picha ya pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu 13 na Jaji wa Mahakama ya Rufaa mmoja aliowaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 5, 2015.Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

TANGAZO KWA UMMA, MAWAKILI NA WADAU WOTE WA MAHAKAMA KUU, KANDA YA DAR ES SALAAM

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAHAKAMA

TUNAPENDA KUTOA TAARIFA RASMI KUWA KUANZIA TAREHE 1 JULAI, 2015 SHUGHULI ZA USIKILIZAJI WA MASHAURI KWA NJIA YA USULUHISHI (ALTERNATIVE DISPUTE RESOLUTION – ADR) ZIMEHAMIA KWENYE JENGO LA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC HOUSE), GHOROFA YA TATU MTAA WA SAMORA JIJINI DAR ES SALAAM.  JENGO HILO KWA SASA LINATUMIWA PIA NA MAHAKAMA KUU, DIVISHENI YA ARDHI.


KWA MAELEZO NA UFAFANUZI PIGA SIMU NA. 022 2111131 AU 022 2110927 AU 0754 454600 NA BARUA PEPE...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete amuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe. Shaban Ally Lila leo jijini Dar es Salaam. Jaji Kiongozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jaji Shaban Ally Lila (kulia) akitia saini hati ya Kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete wakati wa hafla ya kuapishwa kwake  leo jijini Dar es Salaam. Katikati mwenye miwani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akishuhudia tukio hilo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...

 

5 years ago

CCM Blog

JAJI WA MAHAKAMA KUU YA ZANZIBAR MKUSA ISSAC SEPETU AMEFARIKI DUNIA LEO

Jaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mkusa Issac Sepetu amefariki Dunia leo. Tutawaletea baadaye aarifa za kina. Blog ya Taifa ya CCM inatoa pole kwa Ndugu, jamaa na marafiki was Jaji Sepetu.

 

5 years ago

CCM Blog

JAJI SEPETU WA MAHAKAMA KUU ZANZIBAR AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MBUZINI


NA ANDREW CHALE, UNGUJA,ZANZIBAR 

JAJI wa Mahakama Kuu ya Zanzibar Mhe Mkusa Issack Sepetu amefariki Dunia asubuhi ya leo na mjini hapa.

Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Habari wa Mahakama Kuu Zanzibar, asubuhi ya leo February 16, ilieleza taarifa juu ya kifo hicho.

Pia inaelezwa kuwa, maziko yanataraji kufanyika leo saa 10 Kijijini kwao Mbuzini.

Enzi za uhai wake amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na baadae Kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

MTUMISHI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AAGWA BAADA YA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU NA RAIS

 Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimkabidhi kadi ya hongera   mtumishi wa Bunge hilo, Mhe. Leila Mgonya katika shehere ya kumwuaga  baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali  Mhe. Mgonya alikuwa ni Msaidizi wa  Waziri Mkuu. Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimlisha keki mtumishi wa Bunge hilo, Mhe Leila...

 

5 years ago

Michuzi

JAJI SEPETU WA MAHAKAMA KUU ZANZIBAR AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO KIJIJINI KWAO MBUZINI

NA ANDREW CHALE, UNGUJA,ZANZIBAR

JAJI wa Mahakama kuu ya Zanzibar Mhe Mkusa Issack Sepetu amefariki dunia asubuhi ya leo na mjini hapa.

Kwa mujibu wa taarifa ya Afisa Habari wa Mahakama Kuu Zanzibar, asubuhi ya leo February 16, ilieza taarifa juu ya kifo hicho.

Pia inaelezwa kuwa, maziko yanataraji kufanyika leo saa 10 Kijijini kwao Mbuzini.

Enzi za uhai wake amewahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwanasheria mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na baadae Kaimu jaji mkuu wa Zanzibar. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani