MTUMISHI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA AAGWA BAADA YA KUTEULIWA KUWA JAJI WA MAHAKAMA KUU NA RAIS
![](http://4.bp.blogspot.com/-1dr6ZkSDy4M/U-z3-9gC0aI/AAAAAAAF_sI/U2aI0VEeBlc/s72-c/unnamed%2B(4).jpg)
Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimkabidhi kadi ya hongera mtumishi wa Bunge hilo, Mhe. Leila Mgonya katika shehere ya kumwuaga baada ya kuteuliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Tanzania. Awali Mhe. Mgonya alikuwa ni Msaidizi wa Waziri Mkuu.
Mwenyekiti wa Kamati namba moja ya Bunge Maalum la Katiba,Mhe. Ummy Ali Mwalimu akimlisha keki mtumishi wa Bunge hilo, Mhe Leila...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi20 Jul
10 years ago
Dewji Blog01 Oct
Yaliyojiri Bunge Maalum la Katiba baada ya Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kutolewa nje ya ukumbi wa Bunge!
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman akipiga kura leo kwenye ukumbi wa Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma kupitisha Sura na Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Yahya Kassim Issa akiomba mwongozo leo Bungeni kwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Mhe. Samuel Sitta kuhusu kitendo cha Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud Othman kuja kupiga kura na kukataa baadhi ya Ibara za Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GZ51wuc-YC0/U9JUlXTiXaI/AAAAAAACmM8/RCMSPdKt7nU/s72-c/PIX01.jpg)
Rais Kikwete amuapisha Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania.
![](http://1.bp.blogspot.com/-GZ51wuc-YC0/U9JUlXTiXaI/AAAAAAACmM8/RCMSPdKt7nU/s1600/PIX01.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-JwNZt2mDaDY/U9JUl6CNHNI/AAAAAAACmNA/_Z5YPtm_xzw/s1600/PIX02.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-7KNFtVb2Gn8/U9JUmYQz_8I/AAAAAAACmNM/5WutzfvrOyM/s1600/PIX03.jpg)
10 years ago
Michuzi04 Sep
TAARIFA YA WAWAKILISHI WA TAASISI ZA DINI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA TOKA WAJUMBE 201 KUHUSU MWENENDO WA SHUGHULI ZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
10 years ago
Dewji Blog26 Sep
Mahakama kuu: Bunge Maalumu la Katiba lizingatie rasimu
Na Mwandishi wetu
Mahakama Kuu ya Tanzania iliyokaa chini ya Judges Augustine Mwarija, Aloysius Mujulizi na Dr Fauz Twaib imetoa uamuzi wake leo kufuatia maombi ya Saed Kubenea kama ifuatavyo;
1.Kuna mgongano mkubwa kati ya toleo la Kiswahili na Toleo la Kiingereza la kifungu cha 25 (2) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba.
2. Kwamba pamoja na mgongano huo, Sheria imekusudia kwamba Madaraka ya Bunge Maalum la Katiba yatatekelezwa kupitia Rasimu ya Tume ya maana yake kama ilivyowasilishwa...
10 years ago
Vijimambo18 Oct
HALMASHAURI KUU YA CCM YALIPONGEZA BUNGE MAALUM LA KATIBA
HALMASHAURI Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC) imemaliza kikao chake cha siku mbili chini ya Mwenyekiti wa CCM Dkt. JAKAYA KIKWETE ambapo pamoja na mambo mengine imepokea taarifa ya mchakato wa Katiba na kulipongeza bunge hilo.
Aidha imeunga mkono kwa asilimia mia moja Katiba hiyo pendekezi na kuwataka wananchi waisome,kuitafakari na wakati ukifika wajitokeze kwa wingi na kupigia kura ya ndio.Akizungumza na waandishi wa habari Mjini Dodoma, Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi ndugu NAPE...