JAJI MKU WA ZANZIBAR MHE. OMAR OTHMAN MAKUNGU, AZINDUA MAHAKAMA YA BIASHARA ZANZIBAR. MAY 18.
JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akitoa hutuba wakati wa uzinduzi wa Mahakama ya biashara huko Mahakama kuu Vunga Zanzibar. WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.JAJI mkuu akikata utepe kuzindua mahakama ya biashara. Jaji Mkuu akifuahia jambo na Washiriki.Picha ya pamoja
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziJaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu aongea na wanahabari leo
10 years ago
VijimamboJAJI MKUU WA ZANIZBAR, OMAR OTHMAN MAKUNGU AZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINAADAMU
Jaji mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akionyesha vitabu vya Ripoti ya Haki za Binadamu Tanzania kwa mwaka 2014 iliyofanyika kwenye uwanja wa Kituo cha Huduma za Sheria Migombani mjini Zanzibar jana. Picha na Martin Kabemba..
9 years ago
Mzalendo Zanzibar17 Oct
Kungamano la Mhe. Othman Masoud Othman kuhusu Mambo 7 ni Maangamizi Kwa Zanzibar
vidio
The post Kungamano la Mhe. Othman Masoud Othman kuhusu Mambo 7 ni Maangamizi Kwa Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.
9 years ago
Dewji Blog26 Nov
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande atoa somo kwa Waandishi wa Habari za Mahakama
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akitoa ufafanuzi kwa wanabari (hawapo pichani) kuhusu uandishi bora wa habari za Mahakama wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa Habari za Mahakama jana jijini Dar es salaam.
Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande (kushoto) na Meneja wa Maadili wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Allan Lawa (kulia) wakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikiwasilishwa wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo waandishi wa habari za Mahakama...
5 years ago
MichuziWAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR BALOZI AMINI SALUM ALI AZINDUA CHUMVI YA ZALT ZANZIBAR.BZMHE.
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi waBidhaa ya Chumvi ya Zalt inayotengenezwa na Kampuni ya Swahili Coast Salt, hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika mgahawa wa 6Degress South Shangani Jijini Zanzibar.(Na. Mpiga Picha Wetu)
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Swahili Coast Salt.Bi. Stephanie Said, wakati wa hafla ya ...
10 years ago
GPLMWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR, OTHMAN MASOUD OTHMAN AFUTWA KAZI
10 years ago
VijimamboJAJI MKUU ZANZIBAR ATEMBELEA MAHAKAMA PEMBA
10 years ago
IPPmedia04 Oct
Zanzibar Attorney General (AG),Othman Masoud Othman
IPPmedia
Zanzibar Attorney General (AG),Othman Masoud Othman
IPPmedia
The just ended Constituent Assembly (C.A) is likely to heighten political temperature in Zanzibar, causing more cracks in the Isle's Government of National Unity (GNU), The Guardian has learnt. Members of the CA from the Isles who talked to The Guardian in ...
Tanzania assembly endorses draft constitutionNewstime Africa
TANZANIA - Othman disavows Constituent AssemblyAfrica Intelligence (subscription)
Ecstasy as Katiba vote...