Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR BALOZI AMINI SALUM ALI AZINDUA CHUMVI YA ZALT ZANZIBAR.BZMHE.


WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi waBidhaa ya Chumvi ya Zalt inayotengenezwa na Kampuni ya Swahili Coast Salt, hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika mgahawa wa 6Degress South Shangani Jijini Zanzibar.(Na. Mpiga Picha Wetu)
WAZIRI wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali, akizungumza na Mkurugenzi wa Kampuni ya Swahili Coast Salt.Bi. Stephanie Said, wakati wa hafla ya ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA INNOCENT BASHUNGWA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA KUMI LA BIASHARA ZANZIBAR.

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Innocent Bashungwa ameshiriki kwenye Mkutano wa Jukwaa la kumi (10) la biashara Zanzibar. Lenye kauli mbiu isemayo “Ushirikishwaji katika kuleta maendeleo endelevu kupitia uchumi wa bahari"

Mkutano huo umefunguliwa Leo 07.03.2020 katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar na Mgeni rasmi alikuwa ni Mwenyekiti wa jukwaa la biashara na Rais wa Zanzibar Mhe .Dkt Ali Mohamed Shein ambae amefungua jukwaa hilo ambalo lengo kuu ni kutazama fursa...

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI SEIF ALI IDDI AZINDUA KAMPENI JIMBO LA UZINI, ZANZIBAR

Mwenyekiti wa Kamati ya Taifa ya Kampeni ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi amewatahadharisha Wana CCM na Wananchi kuwa na tahadhari na baadhi ya watu walioamua kupita mitaani kununua Vitambulisho vya kupigia kura. Alisema mpango huo umelenga kupunguza asilimia kubwa ya ushindi wa Chama cha Mapinduzi kwenye uchaguzi Mkuu ujao wa mwezi Oktoba ambao uko wazi kutokana na utekelezaji makini wa Sera na Ilani yake ya mwaka 2010 – 2015 iliyoleta maendeleo makubwa ...

 

5 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBAR DK.SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA BIASHARA NA VIWANDA ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Biashara na Viwanda Zanzibar. Utekelezaji wa Mpango Kazi kwa Kipindi cha Julai hadi  Disemba 2019 / 2020, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar. (kilia kwa Rais) Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee, Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar.Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda Mhe. Hassan...

 

11 years ago

Michuzi

Balozi Seif Ali Iddi azindua rasmi kitabu cha Historia ya Vyombo vya Habari Zanzibar

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizindua rasmi kitabu cha Historia ya Vyombo vya Habari Zanzibar hapo katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Bweach Resort Mbweni nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Anayemsaidia kufungua ni Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania { MCT } Kajubi Mukanjanga na kulia ya balozi ni Mkuu wa Mkoa Mjini Maghribi Mh. Abdulla Mwinyi.  Balozi Seif akinyanyua kopi ya vitabu viwili vinavyoelezea Historia ya Vyombo vya Hbari Tanzania kulia yake ...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA BIASHARA VIWANDA, NA MASOKO ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WANAHABARI KUHUSU UZINDUZI WA MPANGO WA ELIMU KWA WANANCHI

Waziri wa Biashara, Viwanda na Masoko Mhe. Nassor Ahmed Mazrui akijibu maswali ya wandishi wa Habari (hawapo pichani), kulia Naibu Waziri wake Thuwaiba Edington Kisasi na (kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Julian Raphael. Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Zanzibar Julian Raphael akimkaribisha Waziri Mazrui (hayupo pichani) azungumze na wandishi wa Habari katika sherehe ya uzinduzi wa mpango wa elimu kwa wananchi kuhusu kuanzishwa kwa Sheria ya Biashara Zanzibar No. 14 ya...

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKU WA ZANZIBAR MHE. OMAR OTHMAN MAKUNGU, AZINDUA MAHAKAMA YA BIASHARA ZANZIBAR. MAY 18.

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akitoa hutuba wakati wa uzinduzi wa Mahakama ya biashara huko Mahakama kuu Vunga Zanzibar. WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.JAJI mkuu akikata utepe kuzindua mahakama ya biashara. Jaji Mkuu akifuahia jambo na Washiriki.Picha ya pamoja

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI , UTALII NA MICHEZO ZANZIBAR AZINDUA HOTELI TAUSI Palace, MJI MKONGWE ZANZIBAR

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk (kulia) akiwa na mwenyeji wake Mwenyekiti wa Makampuni ya Hoteli ya Mark and High Class Group Tanzania Rustam Merani wakingia katika Hoteli yao mpya ya Tausi Palace iliyopo Shangani Mjini Zanzibar. Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo Saidi Ali Mbarouk  akikata utepe akiwa na mwenyekiti wa Makampuni ya Hoteli ya Mark and High Class Group Tanzania Rustam Merani. Mwenyekiti wa Makampuni ya Hoteli ya Mark and High Class...

 

11 years ago

Michuzi

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA BIASHARA, VIWANDA NA MASOKO ZANZIBAR AFUNGA MAFUNZO YA SIKU TATU JUU YA VIKWAZO VYA BIASHARA VISIVYO VYA KIUSHURU

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara, Viwanda na Masoko Rashid Ali Salum akifunga mafunzo ya siku tatu kwa washiriki juu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar. Mwakilishi wa TradeMark Afrika Mashariki kupitia Tanzania Asaac Mtwale akiwashukuru washiriki wa mafunzo juu ya vikwazo vya Biashara visivyo vya kiushuru bara maada ya kufungwa kwa mafunzo hayo katika Hoteli ya Grand Palace Malindi Mjini Zanzibar. Baadhi ya washiriki wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani