Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR, OTHMAN MASOUD OTHMAN AFUTWA KAZI

Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman. RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, leo amemfuta kazi Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman na nafasi yake kuchukuliwa na Said Hassan Said. Rais Shein amefanya uteuzi huo wa Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya Kifungu 55 (1) cha...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Kungamano la Mhe. Othman Masoud Othman kuhusu Mambo 7 ni Maangamizi Kwa Zanzibar

vidio

The post Kungamano la Mhe. Othman Masoud Othman kuhusu Mambo 7 ni Maangamizi Kwa Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

IPPmedia

Zanzibar Attorney General (AG),Othman Masoud Othman


IPPmedia
Zanzibar Attorney General (AG),Othman Masoud Othman
IPPmedia
The just ended Constituent Assembly (C.A) is likely to heighten political temperature in Zanzibar, causing more cracks in the Isle's Government of National Unity (GNU), The Guardian has learnt. Members of the CA from the Isles who talked to The Guardian in ...
Tanzania assembly endorses draft constitutionNewstime Africa
TANZANIA - Othman disavows Constituent AssemblyAfrica Intelligence (subscription)
Ecstasy as Katiba vote...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Sauti:Othman Masoud:Maangamizi ya Zanzibar

The post Sauti:Othman Masoud:Maangamizi ya Zanzibar appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

‘Katiba Pendekezwa inalenga kuifanya nchi ya Zanzibar kuwa manispaa’ — Mh.Othman Masoud

Salma Said, Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amebainisha mambo saba yaliyopo kwenye Katiba Pendekezwa ambayo anasema yataiangamiza Zanzibar endapo Katiba hiyo itapitishwa. Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman amebainisha mambo saba […]

The post ‘Katiba Pendekezwa inalenga kuifanya nchi ya Zanzibar kuwa manispaa’ – Mh.Othman Masoud appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Vijimambo

ZADIA YAUNGA MKONO MSIMAMO WA KIZALENDO WA MH. OTHMAN MASSOUD OTHMAN

TAARIFAAlipokuwa akizungumza kwenye kongamano maalum huko Zanzibar, aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Mh Othman Massoud Othman alielezea wajibu wa kila Mzanzabari wa kuutetea umoja wa Wazanzibar.Akifafanua kifungu cha 23 cha Katiba ya Zanzibar, Bw. Othman alielezea kuwa, mbali na Katiba hiyo kutoa haki sawa kwa Wazanzibari wote, pia inatoa wajibu kwa wananchi.Miongoni mwa wajibu wa kila Mzanzibari kwa mujibu wa Kifungu hicho, ni wajibu wa kulinda, kuhifadhi na kudumisha Uhuru wa...

 

11 years ago

Michuzi

Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu aongea na wanahabari leo

 Na Miza Othman Maelezo Zanzibar Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu amesema ucheleweshwaji wa kesi katika Mahakama za Zanzibar unasababishwa na mambo mengi ikiwemo kukosekana mashahidi na kutokamilika kwa upelelezi na ukosefu wa vitendea kazi.  Hayo ameyaeleza leo huko Ofisini kwake Vuga wakati alipokuwa akizungumza na waaandishi wa Habari juu ya sherehe ya siku ya sheria Zanzibar ambayo itaadhimishwa tarehe 10 Februari 2014. Amesema kaulimbiu ya maadhimisho hayo mwaka...

 

10 years ago

Vijimambo

JAJI MKU WA ZANZIBAR MHE. OMAR OTHMAN MAKUNGU, AZINDUA MAHAKAMA YA BIASHARA ZANZIBAR. MAY 18.

JAJI mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu akitoa hutuba wakati wa uzinduzi wa Mahakama ya biashara huko Mahakama kuu Vunga Zanzibar. WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.WASHIRIKI wa uzinduzi huo wakimsikiliza jaji mkuu.JAJI mkuu akikata utepe kuzindua mahakama ya biashara. Jaji Mkuu akifuahia jambo na Washiriki.Picha ya pamoja

 

10 years ago

Vijimambo

MHE. JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE AKABIDHI RIPOTI YA JOPO LAKE KWA KATIBU MKUU

Wawakilishi wa Kudumu wa Tanzania,  Balozi Tuvako  Manongi na  Christopher  Grima Malta wakitia sahihi hati za kuanzisha uhusiano wa  kidiplomasia katika ngazi ya Mabalozi. Wanaoangalia utiaji sahihi  ni   Tully Mwaipopo Afisa Mwandamizi  wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania na Bw. Alan Cordina, Afisa wa Uwakilishi wa  Kudumu wa Malta.
 Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako  Manongi na  Mwakilishi wa Kudumu wa Malta katika Umoja wa Mataifa,  Balozi...

 

10 years ago

Michuzi

MHE JAJI MKUU MOHAMED OTHMAN CHANDE AKABIDHI RIPOTI YA JOPO LAKE KWA KATIBU MKUU

 Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako  Manongi na  Mwakilishi wa Kudumu wa Malta katika Umoja wa Mataifa,  Balozi Christopher  Grima wakipongezana  mara  baada ya  kutia sahihi  hati  walizoshika za kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia katika ngazi ya Mabalozi. Hati hizo baadaye ya zitawasilishwa  rasmi  kwa  Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa. 
Na Mwandishi Maalum, New York
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya  Malta zimekubaliana kuanzisha uhusiano  wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani