Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KNCU yakanusha kukopa wakulima kahawa yao

>Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimesema hakijawahi kukopa wakulima  kwani kinachofanya ni ukusanyaji peke yake.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RC MALIMA ATAKA WAKULIMA WAUZE KAHAWA YAO KWA BEI NZURI AUNGA MKONO WANUNUZI BINAFSI

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Adam Malima akisisitiza jambo wakati akizungumza Kwenye kikao kazi na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Prof Jamali Adam ofisini kwake Mjini Musoma leo tarehe 2 Juni 2020. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)

Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Adam Malima akisisitiza jambo wakati akizungumza Kwenye kikao kazi na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Kahawa Prof Jamali Adam ofisini kwake Mjini Musoma leo tarehe 2 Juni 2020.Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe Adam Malima akisisitiza...

 

10 years ago

Michuzi

KNCU WAINGIZA MTAMBO MPYA WA KUKOBOLEA KAHAWA

Mtambo mpya wa kisasa wa kukobolea Kahawa ulionunuliwa na Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa zao la Kahawa mkoani Kilimanjaro kwa gaharama za dola laki 9.48 ukishushwa katika kiwanda.
Mota ya kuzungusha mashine wakati wa ukoboaji ikishushwa ikiwa ni sehemu ya mtambo mpya wa kukobolea Kahawa utakaofungwa katika kiwanda cha Cofee Curing.

BOFYA HAPA KWA HABARI NA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

TADB yamwaga billion 7.7 kwa vyama vya ushirika vya wakulima wa kahawa (KCU na KDCU) Kagera katika msimu wa kahawa 2020/21.

Kutoka Kushoto aliyeshika kipaza sauti ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Mh. Brig. Gaguti, akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa Mh. Rashid Mwaimu, Mkuu wa wilaya ya Karagwe Mh. Godfrey Muheruka, Mkurugenzi Mtendaji wa TADB, Japhet Justine na mwenyekiti wa chama cha KDCU LTD Anselemi Alphonce.

Mapema leo (9 Juni 2020), TADB kwa kuongozwa na Mkurgenzi Mtendaji, Japhet Justine, wameshiriki katika ufunguzi wa msimu mpya wa kahawa 2020/21 uliofunguliwa na RC Kagera Mh. Brig. Gaguti wilayani Kyerwa....

 

10 years ago

Habarileo

Wizara kukopa bil. 70/- NMB, CRDB kulipa wakulima

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi ILI kulipa deni la ununuzi wa nafaka kutoka kwa wakulima, hatimaye Serikali imeruhusu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kukopa Sh bilioni 70 kutoka Benki ya CRDB na NMB ili kumaliza kero hiyo inayowakabili wakulima.

 

10 years ago

Mwananchi

Wakulima wa kahawa kunufaika

Wakulima wa kahawa nchini wataendelea kunufaika na zao hilo baada ya kuanzishwa kwa viwanda vya usindikaji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima kahawa hawatalipwa fidia

SERIKALI imesema  haina mpango wa kuwalipa fidia ya hasara inayotokana na mdororo wa uchumi kwa  wakulima wa kahawa walio chini ya Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Kilimanjaro (KNCU) kama...

 

11 years ago

Habarileo

NSSF kukopesha wakulima wa kahawa

WAKULIMA za zao la Kahawa wanatarajia kunufaika na mikopo inayotolewa na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) mkoani Kilimanjaro, kuboresha zao hilo, ambalo limekumbwa na changamoto mbalimbali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakulima Muleba waruhusiwa kusafirisha kahawa

WAKULIMA na wanunuzi wa zao la kahawa katika Kata ya Nshamba, Wilaya ya Muleba mkoani Kagera, wameruhusiwa kusafirisha zao hilo kwenda sehemu yoyote ndani ya wilaya hiyo, ikiwa ni pamoja...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Umoja wakulima wa Kahawa mbioni kusajiliwa

UMOJA wa Wakulima wa Kahawa (Aba Kamo Coffee Growers Association), tarafa ya Kamachumu, wilayani Muleba, Kagera, umesema upo katika hatua za mwisho kusajili umoja huo, ili uweze kunufaika na zao...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani