Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara kukopa bil. 70/- NMB, CRDB kulipa wakulima

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi ILI kulipa deni la ununuzi wa nafaka kutoka kwa wakulima, hatimaye Serikali imeruhusu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kukopa Sh bilioni 70 kutoka Benki ya CRDB na NMB ili kumaliza kero hiyo inayowakabili wakulima.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

NMB YATOA MKOPO WA SHILINGI BIL. 3 KWA WAKULIMA WA MUHOGO HANDENI


Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Filbert Mponzi (wa pili kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi Bilioni 3, Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe maalumu kwa ajili ya vikundi vya wakulima na wasindikaji wa zao la muhogo wilayani Handeni, mkoani Tanga. Wengine kwenye picha ni Mkurugenzi wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justin (wa pili kushoto), Mwenyekiti wa Wakulima wa zao hilo nchini, Mwantum Mahiza, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Inakuwaje ukumbuke kukopa kulipa usahau?

KWA mtazamo wangu wa juu juu, kama kuna mtu mzima yeyote yule ambaye hajawahi kukopa katika historia ya maisha yake yote hapa duniani, basi mtu huyo atakuwa si binadamu wa kawaida...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kukopa simu inasikika, kulipa ‘network’ mbovu!

HALI ya maisha yetu ya kawaida kwa Watanzania tulio wengi, hakuna ambaye hajawahi kukopa hata siku moja katika historia ya maisha yake yote tangu alipoanza kuwa na akili zake timamu,...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB YAWATAKA WATANZANIA WAISHIO NJE YA NCHI 'DIASPORA' KUKOPA MIKOPO YA NYUMBA

Meneja wa Mikopo ya Nyumba kutoka Benki ya CRDB, Silas Katemi akitoa mada wakati wa Mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Meneja Uhusiano wa Premier Banking, Augusta Mfuru akizungumza wakati wa mkutano wa nane wa Baraza la Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa uliofanyika jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. Ofisa wa Benki ya CRDB, Nasiwa Solomon...

 

11 years ago

Mwananchi

KNCU yakanusha kukopa wakulima kahawa yao

>Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa Mkoa Kilimanjaro (KNCU), kimesema hakijawahi kukopa wakulima  kwani kinachofanya ni ukusanyaji peke yake.

 

5 years ago

CCM Blog

BENKI YA NMB NA SatF ZAZINDUA UTOAJI WA HUDUMA ZA KIDIJITALI KWA VIKUNDI VYA KUWEKA NA KUKOPA



Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NMB – Ruth Zaipuna (kushoto) na Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Ndogo na za Kati wa NMB - Filbert Mponzi (Kulia) wakiwa wameshika alama ya uzinduzi rasmi wa akaunti ya NMB Pamoja. Katikati ni Mteja wa NMB Bi. Zaina Mikidadi, kutoka kushoto ni Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB - Benedicto Baragomwa, Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa wa Serikali wa NMB Alfred Shao na Kaimu Afisa Mkuu Rasilimali watu- Emmanuel Akonaay.



Benki ya NMB na kampuni ya Savings...

 

11 years ago

Mwananchi

CRDB yaviongezea vyama muda wa kulipa madeni

Benki ya CRDB imetoa mikopo yenye thamani ya Dola za Marekani 42 milioni katika mwaka wa fedha 2012/13 kwa vyama vya msingi vya ushirika 143 vilivyo chini ya Chama Kikuu cha Wakulima wa Tumbaku Kanda ya Magharibi (WETCU).

 

10 years ago

Habarileo

Zatumwa bil 10/- kulipa walimu wapya

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu NchembaSERIKALI imetuma Sh bilioni 10 katika mikoa mbalimbali nchini kwa ajili ya kuwalipa walimu wapya ambao wameripoti kazini mapema mwezi uliopita.

 

10 years ago

Habarileo

Wataka wamiliki mgodi Mwadui kulipa deni bil.7/-

MGODI wa almasi wa Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga unaomilikiwa na Kampuni ya Diamond Williamson unadaiwa Sh bilioni 1.6 tangu mwaka 1995 hadi 2007 kama ushuru wa huduma, hali ambayo imeonesha baadhi ya madiwani kuwa na wasiwasi huku wakihoji ni lini fedha hizo zitalipwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani