Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zatumwa bil 10/- kulipa walimu wapya

Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu NchembaSERIKALI imetuma Sh bilioni 10 katika mikoa mbalimbali nchini kwa ajili ya kuwalipa walimu wapya ambao wameripoti kazini mapema mwezi uliopita.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Umuhimu wa walimu wazoefu kuwasimamia walimu wapya shuleni

Mwalimu mahiri ni mwalimu mwenye uwezo wa kumudu kufundisha somo lake kikamilifu na kisha kutoa maarifa sahihi kwa mujibu wa maelekezo ya silabasi.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara kukopa bil. 70/- NMB, CRDB kulipa wakulima

Naibu Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Godfrey Zambi ILI kulipa deni la ununuzi wa nafaka kutoka kwa wakulima, hatimaye Serikali imeruhusu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kukopa Sh bilioni 70 kutoka Benki ya CRDB na NMB ili kumaliza kero hiyo inayowakabili wakulima.

 

11 years ago

Habarileo

Bil.6.8/-kutumika kulipa fidia Makambako hadi Songea

SERIKALI imetenga zaidi ya Sh bilioni 6.8 kwa ajili ya kulipa fidia kwa wananchi walioko kandokando mwa barabara kuu kutoka Makambako hadi Songea.

 

10 years ago

Habarileo

Wataka wamiliki mgodi Mwadui kulipa deni bil.7/-

MGODI wa almasi wa Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga unaomilikiwa na Kampuni ya Diamond Williamson unadaiwa Sh bilioni 1.6 tangu mwaka 1995 hadi 2007 kama ushuru wa huduma, hali ambayo imeonesha baadhi ya madiwani kuwa na wasiwasi huku wakihoji ni lini fedha hizo zitalipwa.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kenyatta: 'Hatuwezi kulipa walimu'

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesisitiza kuwa serikali ya nchi hiyo haina uwezo wa kulipa nyongeza ya mishahara wanayodai waalimu

 

9 years ago

Mwananchi

Serikali yaanza kulipa madeni ya walimu

Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, imeanza kulipa madeni ya walimu yanayofikia Sh162.1 milioni.

 

9 years ago

GPL

RAIS KENYATTA: HATUWEZI KULIPA WALIMU

Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Wakati shule zote za serikali na za binafsi nchini Kenya zikianza kufungwa kuanzia hii leo, rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta akihutubia taifa hilo kwa njia ya televisheni amesisitiza kuwa serikali yake haina uwezo wa kulipa nyongeza ya mishahara wanayodai waalimu wanaoendelea na mgomo. Mgomo wa walimu nchini Kenya Ametoa wito kuwa, mgogoro huo utatuliwe kwa amani na kusema kuwa shule zote...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yataja mikakati ya kulipa madeni ya walimu

SERIKALI imeweka bayana mikakati yake ya kukabiliana na deni la walimu, ambao ni sehemu kubwa ya watumishi wake.

 

11 years ago

Habarileo

Serikali yatenga fungu nono kulipa madeni ya walimu

FUNGU nono limetengwa kwa ajili ya walimu wanaodai malimbikizo ya mishahara na masurufu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani