Kukopa simu inasikika, kulipa ‘network’ mbovu!
HALI ya maisha yetu ya kawaida kwa Watanzania tulio wengi, hakuna ambaye hajawahi kukopa hata siku moja katika historia ya maisha yake yote tangu alipoanza kuwa na akili zake timamu,...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Inakuwaje ukumbuke kukopa kulipa usahau?
KWA mtazamo wangu wa juu juu, kama kuna mtu mzima yeyote yule ambaye hajawahi kukopa katika historia ya maisha yake yote hapa duniani, basi mtu huyo atakuwa si binadamu wa kawaida...
10 years ago
Habarileo15 Nov
Wizara kukopa bil. 70/- NMB, CRDB kulipa wakulima
ILI kulipa deni la ununuzi wa nafaka kutoka kwa wakulima, hatimaye Serikali imeruhusu Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kukopa Sh bilioni 70 kutoka Benki ya CRDB na NMB ili kumaliza kero hiyo inayowakabili wakulima.
11 years ago
Mwananchi15 May
JK azindua M-pawa, ni kuweka akiba na kukopa kupitia simu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iiTUTtyGFg0/XujKtPyQpWI/AAAAAAALuEE/niDtRJvqK-QmxWNZcpLFHZt3VwpiyTwyQCLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.33.47%2BPM.jpeg)
WALIOKWEPA KULIPA KODI WAHUKUMIWA KULIPA BILIONI 1.5 BAADA YA KUKILI KOSA
![](https://1.bp.blogspot.com/-iiTUTtyGFg0/XujKtPyQpWI/AAAAAAALuEE/niDtRJvqK-QmxWNZcpLFHZt3VwpiyTwyQCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.33.47%2BPM.jpeg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-b0IFsGsOvuI/XujKtEkDneI/AAAAAAALuEA/AYeS1Bl60pI1fh74EGdM96oqIWFS5DA8QCLcBGAsYHQ/s640/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-16%2Bat%2B4.34.09%2BPM.jpeg)
ALIYEKUWA Rais wa Kampuni ya Acacia, Deodatus Mwanyika na wenzake wamehukumiwa kulipa fidia ya Sh bilioni 1.5 baada ya kukiri mashitaka ya kukwepa kulipa kodi.
Pia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu kulipa faini ya Sh milioni 1.5 1 ama kutumikia kifungo cha miezi minne gerezani iwapo watashindwa kulipa faini hiyo.
Mbali na Mwanyika washitakiwa wengine ni Meneja Uhusiano wa Mgodi wa Bulyanhulu, Alex Lugendo, Mkurugenzi mtendaji wa mgodi wa Pongea, North...
11 years ago
Mwananchi06 Jun
Chenge: Serikali itaendelea kukopa
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Mkuya: Serikali itaendelea kukopa
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya Salum, amesema serikali itaendelea kukopa licha ya deni la taifa kuongezeka, lengo lilikwa ni kufungua fursa za kiuchumi zaidi. Pia ameelezea sababu za...
10 years ago
Mwananchi06 Nov
Mambo ya kuzingatia kabla ya kukopa
10 years ago
Tanzania Daima03 Nov
Jamii yahimizwa fursa za kukopa
JAMII imeshauriwa kutumia fursa zinazopatikana kwenye taasisi za fedha, benki na nyinginezo kujipatia mikopo itakayowasaidia kujikwamua kimaisha. Wito huo umetolewa na Meneja wa Benki ya Posta (TPB), tawi la Songea,...
10 years ago
Habarileo10 May
Hospitali zashindwa kukopa mabilioni NHIF
WAKATI vituo vya utoaji huduma katika sekta ya afya nchini, vikikabiliwa na hali duni ya miundombinu katika utoaji huduma, vituo vingi vimeshindwa kukopa mabilioni ya Shilingi kwa ajili ya kuboresha huduma, yanayotolewa na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).