Chenge: Serikali itaendelea kukopa
Zikiwa zimebaki siku tano kabla ya kusomwa Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2014/15, mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Andrew Chenge amesema Serikali haina fedha na ni lazima itegemee misaada kutoka nchi wahisani na kukopa ili kutekeleza bajeti hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima30 Jan
Mkuya: Serikali itaendelea kukopa
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Saada Mkuya Salum, amesema serikali itaendelea kukopa licha ya deni la taifa kuongezeka, lengo lilikwa ni kufungua fursa za kiuchumi zaidi. Pia ameelezea sababu za...
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
TCDD: Bunge liruhusu serikali kukopa
MTANDAO wa Madeni na Maendeleo Tanzania (TCDD) umetaka katiba ya nchi itamke kuwa serikali inawajibika kutoa taarifa za deni la taifa na kuomba kibali cha Bunge kila inapotaka kukopa. Akizungumzia...
10 years ago
Habarileo11 Feb
JK: Serikali itaendelea kuboresha hospitali
SERIKALI imesema itaendelea kuboresha sekta ya afya nchini kwa kuboresha zahanati, vituo vya afya, hospitali za wilaya, rufaa na vyuo vinavyotoa taaluma ya uuguzi na udaktari.
10 years ago
Vijimambo10 Oct
Serikali itaendelea kuimarisha Maisha ya Wananchi, Ellen
Na. Ally Kondo, New YorkSerikali imetahadharisha kuwa endapo mchakato wa kuandaa Agenda ya Maendeleo baada ya Mwaka 2015 unaoendelea hivi sasa katika Umoja wa Mataifa, hautazingatia mahitaji ya watu wenye ulemavu, dhamira ya kufikia maendeleo endelevu itakuwa ni ndoto kwa kuwa katika kila idadi ya watu watano duniani, mmoja wao ana...
10 years ago
Habarileo01 Jun
Bilal: Serikali itaendelea kuboresha elimu nchini
SERIKALI imesema kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya elimu, itaendelea kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia ili kutoa elimu bora na inayowatayarisha watanzania kujiajiri na kuajiriwa katika sekta ya umma na sekta binafsi.
10 years ago
Mwananchi26 Nov
Serikali ya CCM itaendelea kulinda maovu hadi lini?
10 years ago
MichuziSerikali itaendelea kuimarisha Maisha ya Wananchi - Ellen Maduhu
Na. Ally Kondo, New York
Serikali imetahadharisha kuwa endapo mchakato wa kuandaa Agenda ya Maendeleo baada ya Mwaka 2015 unaoendelea hivi sasa katika Umoja wa Mataifa, hautazingatia mahitaji ya watu wenye ulemavu, dhamira ya kufikia maendeleo endelevu itakuwa ni ndoto kwa kuwa katika kila idadi ya watu watano duniani, mmoja wao ana...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fnx_8ugW6fk/U5Ci0TMkFyI/AAAAAAAFn3g/WHRfnsmI2pc/s72-c/unnamed+(30).jpg)
Zanzibar itaendelea kuthamini misaada ya Serikali ya Misri - Maalim seif
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-cARgfkA64bY/Xm-PhqHteCI/AAAAAAAC8og/9W8NT55xvNUQV9CLoZI1Rs5uQGe8Ddo9ACLcBGAsYHQ/s72-c/01.jpg)
Serikali itaendelea kusimamia miradi ya kimakatakati ili kuwahudumia Watanzania
Na Eleuteri Mangi, WHUSM-Dodoma
Serikali itaendelea kutekeleza majukumu yake ya kusimamia miradi mikubwa ya kitaifa ya kimkakati ili taifa liendelee kusonga mbele katika sekta za Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Juliana Shonza wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa wizara hiyo lililofanyika leo jijini Dodoma.
Miradi ambayo wizara itaendelea kuisimamia ni pamoja na kuendeleza na kutekeleza shughuli za...